masakubimbi wa kisiasa ni kina nani?
jk asema zanzibar sio nchi, ilijivua kuwa nchi ilipojiunga na tanganyika....muda mfupi uliopita alisema vyombo husika viachiwe kulizungumza hilo swala...lakini yeye analizungumzia sasa. Nchi ni tanzania...
Kwa ndani...kuna mambo ya nchi znz na kuna mambo ya nchi ya tanganyika...mimi hapa amenichanganya kidogo.

Nasubiri kuhusu mambo ya ufisadi, sijuhi keshaongelea, nimeanza sikiliza katikati
nasubiri kuhusu mambo ya ufisadi, sijuhi keshaongelea, nimeanza sikiliza katikati
Nchi ni Tanzania FULL STOP