Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

waasisi waliamua nchi mbili huru ziungane na kuunda mamlaka moja, nchi moja, TANZANIA.
 
jk asema zanzibar sio nchi, ilijivua kuwa nchi ilipojiunga na tanganyika....muda mfupi uliopita alisema vyombo husika viachiwe kulizungumza hilo swala...lakini yeye analizungumzia sasa. Nchi ni tanzania...

Kwa ndani...kuna mambo ya nchi znz na kuna mambo ya nchi ya tanganyika...mimi hapa amenichanganya kidogo.
 
Somebody, help Kikwete, he does not seem to get the bitterness we are potting!!!!!!!!!Nani amwambie huyu Kikwete siku zinahesabika?
 
hivi kweli jk haoni tatizo kwenye muungani, is he serious??

Anaingia kuzungumzia muafaka wa ccm na cuf zanzibar.
 
jk asema zanzibar sio nchi, ilijivua kuwa nchi ilipojiunga na tanganyika....muda mfupi uliopita alisema vyombo husika viachiwe kulizungumza hilo swala...lakini yeye analizungumzia sasa. Nchi ni tanzania...

Kwa ndani...kuna mambo ya nchi znz na kuna mambo ya nchi ya tanganyika...mimi hapa amenichanganya kidogo.

Nilivyomuelewa mimi hivyo vyombo vikishayafanyia kazi mambo hayo msemaji mkuu ni yeye,hivyo wameshajadilina yeye kama spokesman ndio katoa kauli hivyo,hakuna majadiliano mengine tena yanayoendelea kuhusu zanzibar nchi au la
 
Nasubiri kuhusu mambo ya ufisadi, sijuhi keshaongelea, nimeanza sikiliza katikati
 
jk asema zanzibar sio nchi, ilijivua kuwa nchi ilipojiunga na tanganyika....muda mfupi uliopita alisema vyombo husika viachiwe kulizungumza hilo swala...lakini yeye analizungumzia sasa. Nchi ni tanzania...

Kwa ndani...kuna mambo ya nchi znz na kuna mambo ya nchi ya tanganyika...mimi hapa amenichanganya kidogo.

nchi ni tanzania...hakuna la zaidi
 
Amehitimisha issue ya Muungano kuwa kuna nchi tatu, Tanzania, Tanganyika na Zanzibar. Tukiwa Tanzania kuna Tanganyika na Zanzibar, Kimataifa kuna Tanzania. Sasa tunaihitaji hiyo ya Tanganyika, mbona haipo
 
Msimamo wa serikali ya muungano Zanzibar sio nchi, wanaobisha wajinyonge maana ameshamaliza kuliongelea.

Sasa anaongelea muafaka na blah blah nyingi na kuwashukuru wabunge kama anamalizi ahutuba huku bado anaendelea.
 
Back
Top Bottom