I can't believe this guys
This is unbelievable and its not easy to accept that this is the formal talk from the president jamani
Unaona anvyojicontradiction..waliacha kukopa sasbbu walikuwa hawakopesheki..yaani
Huwa anaandikiwa na timu ambayo huwa inawahusisha kina januari makamba.hii hotuba ameandika mwenyewe au kuna secretary kamwandikia???naombeni jibu ili niondoke mapema hakuna point hapa..
Makubwa, eti thamani ya shilling ya TZ imeongezeka,
kila nikimuuliza mwananchi walio wengi kwa nini walimpigia kura huyu rais wetu wanasema smile yake iliwaponza ndo maana wakampa kura zao wakijua anavyo smile na utendaji wake utakuwa mzuri lakini saizi wengi wanajuta wale wale wanashindwa tena kutoa sababu.Kazi tunayo........
kulingana na takwimu za sasa imepanda, wakati anaingia dollar moja ilikuwa 1270 sasa hivi ni 1160. Pia kuna gain hata ktk sarafu nyingine kama paundi, kshs, rand nk fanya utafiti
richmond na epa vipi?
Seen it live... wanasinzia.. speech is boring: Mkulo, Nchimbi, and many others, thinking lunch...
Wala hakukuwa na sababu ya kuomba muda bungeni, hotuba hii angeitoa hata kwa Wazee wa Dar es Salaam. It is too low
Momose Cheyo aliliona hili akawaambia watu mnachagua mtu kutokana na sura,Hamumji huyu mtu..
John Cheyo anamjua Vizuri sana jaka..walishare mambo mengi sana hasa kipindi cha 2002 mpaka 2004.ambapo ilimsaidia sana John kufahamu jaka