Mtuwamungu
Senior Member
- Jun 21, 2007
- 110
- 2
richmond analo la kuongea wakati yeye ana mkono??? Wote wamemshika sehemu mbaya hivyo anagugumia tu!!!
Ila hiyo migomo nami naunga mkono wa asilimia 300
mafanikio na matatizo...na taarifa nyinginezo!!!!
hivi jamani mpaka muda huu wa hotuba ilipofika kulikuwa nahaja ya kuiongelea bungeni??? anajua umuhimu wa bunge huyu?? mambo mangapi ya maendeleo yamesimama kujadiliwa???
chuma uwe makini katika matumizi ya umeme umesikia ?
Lubereje ni kahaba mwingine kwenye harusi ya siasa