Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

huyu rais anaongelea ujenzi wa barabara kama vile mtu anazungumzia kuanzisha biasha ya kuuza karanga...huu kweli usanii.

Yebo ulipotelea wapi?Nilijua Mkuu umejichokea na porojo kama MwanaKJJ ukaamua kuondoka kumbe bado unagaagaa na upwa?Utakula wali mkavu tuu leo hatoi mboga huyu!
 
anahalalisha safari zake miji mikubwa...oooh bush nae huyoooo kwenye speech!
 
Hii ni ze comedy kweli, yaani more than two hours anaongea vitu ambavyo sio muhimu kwa taifa kwa wakati huu, vitu muhimu alivyoongelea havifiki hata nusu saa.
 
Mambo ya nje :- TANZANIA tumepoteza ubalozi wa nchi moja na sasa itabidi kwenda Kenya kuomba VIZA. Kenya wanazidi kutufunga magoli. Ngoja tusikilize EPA.
 
usipokuwa tayari kuliwa uli..uliwe kidogo utakula
O lord have mercy!
Does our president know exactly who he is,and what kind of an image he potrays by such egs?

No wonder this Nation advances in adultery,corruption and other evils everyday!

Hata jokes nyingi za Spika,kweli mwenzenu hua zinanipa picha mbaya sn juu ya viongozi wetu.Tena hapo wabunge ndio hufurahi na kucheka kweli!Yaani % kubwa ya wabunge na viongozi akili na mtazamo wao umekaa kiuzinziuzinzi tu!Halafu haohao wanaongoza kampeni dhidi ya ukimwi!

Mungu likomboe taifa letu.
 
tatizo la tz ni siasa , nyingi na ndicho kitu anacho husudu JMK, na ndio maana tunashindwa na rwanda, uganda na kenya kwenye ukuaji wa uchumi.
 
Now the boy is talking but i dont know if he will talk like politician or mzalendo
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 325 (108 members and 217 guests)
 
Back
Top Bottom