Mtuwamungu
Senior Member
- Jun 21, 2007
- 110
- 2
Kitu kipya katika hotuba hii ni msamiati wa neno "SHARBATI" lenye maana ya "Juice." Asante Muungwana kwa kutusaidia kupoteza muda ingawa kwa walio ughaibuni Marekani huko umewafanya wakeshe bila kulala. Kudadadeki!