Yebo ulipotelea wapi?Nilijua Mkuu umejichokea na porojo kama MwanaKJJ ukaamua kuondoka kumbe bado unagaagaa na upwa?Utakula wali mkavu tuu leo hatoi mboga huyu!
Hii ni ze comedy kweli, yaani more than two hours anaongea vitu ambavyo sio muhimu kwa taifa kwa wakati huu, vitu muhimu alivyoongelea havifiki hata nusu saa.
Mambo ya nje :- TANZANIA tumepoteza ubalozi wa nchi moja na sasa itabidi kwenda Kenya kuomba VIZA. Kenya wanazidi kutufunga magoli. Ngoja tusikilize EPA.
O lord have mercy!
Does our president know exactly who he is,and what kind of an image he potrays by such egs?
No wonder this Nation advances in adultery,corruption and other evils everyday!
Hata jokes nyingi za Spika,kweli mwenzenu hua zinanipa picha mbaya sn juu ya viongozi wetu.Tena hapo wabunge ndio hufurahi na kucheka kweli!Yaani % kubwa ya wabunge na viongozi akili na mtazamo wao umekaa kiuzinziuzinzi tu!Halafu haohao wanaongoza kampeni dhidi ya ukimwi!