Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

JK ni uwezo hana sio tatizo lake ila ubongo mdogo.....

I believe you 100% (with "ubongo mdogo" used metaphorically of course) na hata zile fedha zilizotumiwa kumpeleka kile mwalimu wangu mmoja wa high school alichokiita "Chuo Kikuu cha Manzese" zimepotea tu.

Yaani JK anaweza kushindwa kuanzia reasoning mpaka presentation na mtu mjanja tu wa mtaani ambaye hajafika hata Choo Kikuu.

I will side with Sitta on this, albeit his conduct otherwise leave much to be desired and may even prompt some to find evidence of opportunistic activism.

Bongo is barely comprehensible, no principles, no commitment, people go with the prevailing wind.The same speaker hailed as a champion of anti-corruption wanted to avert the nailing of Lowassa by a feebly fabricated foreign flight, advising Makinda "not to table the Mwakyembe report" until JK rightly stepped in and forced the ending of Lowassa's premiership down Sitta's throat.Now the table is turned.

All the more reason to see this entire charade as it truly is, one big circus of politicking and credit obsessed old farts on the one hand and a tired, confused, uninformed citizenry on the other.

And people have the naivette to sing praises for Sitta? For what it takes, like I said earlier I will give him kudos for saying what he did but I am not totally convinced about his commitment and motives.
 
Tulilishwa pumba za kutosha kutoka kwa JK. Tulishiba(kujaza tumbo) na kukinai, lakini si kwa afya: Kwashiakor. Speaker alitupatia chakula safi.
 
Mimi badu sijakata tamaa na Mheshimiwa Raisi ,japo saa ingine huwa namtolea uvivu ,hizo si hasira wala nini ila ni kutaka kumuelewesha kwa nguvu japo hazisaidii kitu au huwa nionavyo pengine nikirapu atanielewa na kutuelewa.na kuingia katika lile bango lake la kasi mpya ari mpya na nguvu mpya.

Badu nina kajitamaa kuwa ili kuimarisha nguvu na kasi katika uchaguzi unaofuata ,mheshimiwa atafanya maajabu ambayo wengi wetu hamtayategemea na kura zenu zoote kwa mara nyingine na ya mwisho mtampelekea yeye ili amalize nngwe yake iliyobakia.

Maajabu ambayo atayafanya na kumpandisha chati ni kuyashugulikia madai yenu yote kwa mkupuo na kila anaestahili kuchukuliwa hatua atachukuliwa na sheria itafuata mkondo wake ambao utakuwa si wa kawaida kwa maana haachiwi wala hahurumiwi mtu.

Hapo bila ya kujijuwa WaTanzania mtaona kuwa huyu mheshimiwa mwisho zile zana zana mlizokuwa mkimbebesha zitayeyuka na kuanza kumpachika misifa na pengine kudai aongezewe muda , ka miaka mingine mitano iwe ametimiza miaka kumi na tano.
 
Siku zote maneno mengi huificha ukweli. What Jakaya was doing ni kuupeta ulimi na maneno kibao. Angekuwa mtu straight basi kwanza angeanika majina hadharani baada ya tume kumaliza kazi yake then aeleze straight kuwa vyombo vya sheria viko kazini.

Lakini tumetupiwa changa la macho. Our presidaa ni msaniii mzuri.
 
Its now official: National ID cards ready by next year

THISDAY REPORTER
Dodoma

THE national identification cards project will be underway by 2009, when the cards are expected to be ready for distribution to bona fide Tanzanians, the Deputy Minister for Home Affairs, Khamis Kagasheki, has said.

He told Parliament in Dodoma yesterday that the process to get the contractor for the apparently highly-fancied $176m (approx. 200bn/-) job aimed at introducing compulsory ID cards to all Tanzanian citizens has already started.

He was responding to a question by Mhonga Ruhwanya (Special Seats - CHADEMA), who had wanted to know exactly when the national IDs are to be issued to Tanzanians, what stage the project has reached, and what criteria is being used to pick the contractor for the project.

According to deputy minister Kagasheki, a total of 54 local and foreign companies have applied for the tender to produce the IDs, and the government is currently in the process of short-listing the applicants.

The tender winner is expected to be known by the end of next month, he told the House.

He asserted that the government will be very careful in picking the eventual tender winner for the multi-billion shilling project, which is known to have attracted the interest of various local politicians-cum-businessmen, all apparently eager to pounce on the deal.

It has been reclining on the backburner of state affairs for years, amidst reports of constant meddling and undue influence allegedly being exerted by certain well-connected personalities ever since the consultancy stage.

But in an interview with THISDAY last March, Home Affairs Minister Lawrence Masha dismissed the reports of certain big shots being after the lucrative contract.

He said the delays in the project implementation were occasioned by the governments intention to ensure that the process is carried out thoroughly and diligently, given its sensitive nature.

It is not true that there are personal interests in this project...The government only wants to ensure the project is implemented with no hitches, said Masha.

Concern has also been raised in some government quarters that the technology suggested for the making of the ID cards is probably too high-tech for a poor country like Tanzania.

It is understood that consultants hired by the government proposed the use of a smartcard technology, although some of the countrys development partners reportedly preferred a simpler and less expensive barcode technology.

Critics of the project say the lack of a nationwide e-government infrastructure and national database will also make it difficult to implement the IDs project.

The national ID cards project has been on the drawing board for almost four decades now, but constantly delayed by problems like lack of funds, legal wrangling and more recently reported meddling by some big shots in government.

Tenders for designing, printing and supplying of national IDs were first advertised in 1995, when around 27 companies initially applied for the contract.

The tenders were eventually cancelled amidst legal wrangling by at least one of the bidders and financial constraints on the part of the government.
 
Ngoja leo napo tusikie longo longo jingine......jipya toka PM
 
Hivi mnajuaje kama jina lake nae halipo mnataka awatajie hayo majina alafu anyoooshe mikono muwekepingu.hahahahahahaeeeeeeeeeeeee Kitendawiliiiiiiiii tega tega ni kutege.
 
Jamani kama majina si mmeishatajiwa magazetiniiiii.

Kama kutajana nadhani ni sawa na kujichukulia sheria mkononi, cha muhimu hayo majina yanayotuhumiwa yapelekwe mbele ya sheria na mahakama ndio itoe tamko la majiana yaliyokuwa na makosa.

WATANZANIA HAMNA SUBIRA, MNAPENDA HARAKA HARAKA. timu yenu ya wanawake ilishinda kimechi kimoja cha kwanza mkaanza kuponda kuwa ireplace taifa stars ya wanaume. Taifa Stars ikashinda kidogo pongezi kibao mpaka kumwagiwa pesa bungeni, mechi iliyofuata wakafungwa mara maximo hafai aondolewe. KWANINI JAMANIIIII.

kama wenyewe mnakiri kuwa walioiba pesa ni vigogo, si mnajua kuchomoa vigogo inahitaji maandalizi? sasa inakuwaje kapewa ripoti na kabla yeye hajaipitia watu mnataka atangaze tu majina? Mpenim uda jamani.
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
 
Maajabu ambayo atayafanya na kumpandisha chati ni kuyashugulikia madai yenu yote kwa mkupuo na kila anaestahili kuchukuliwa hatua atachukuliwa na sheria itafuata mkondo wake ambao utakuwa si wa kawaida kwa maana haachiwi wala hahurumiwi mtu.

Hapo bila ya kujijuwa WaTanzania mtaona kuwa huyu mheshimiwa mwisho zile zana zana mlizokuwa mkimbebesha zitayeyuka na kuanza kumpachika misifa na pengine kudai aongezewe muda , ka miaka mingine mitano iwe ametimiza miaka kumi na tano.

That will be the day! Sidhani kama kuna mtanzania mzalendo wa kweli asiyeombea haya and to me it doesnt matter nani ana uwezo wa kutekeleza haya yeyote yule anayeweza kuwabana na kutia mafisadi adabu anakaribishwa
 
Our Mission
to Identify and protect individuals’ identity to facilitate their transactions through the development of an accurate population registry and the issuance of a unified, multi-purpose identity card to support decision makers with essential statistical data that contribute to the overall development of the TZ’s society.”


Our Vision
to be a role model and reference point in proofing individual identity and build wealth Informatics that guarantees innovative and sophisticated services for the benefit of TZ.


Our Goal
To establish an accurate and secured population register for millionz of TZ’s citizens and residents by the end of year 2015.

The United Republic of Tanzania, which has achieved significant economic and social development over the last few decades, is pushing forward with more growth and diversification. Our long-standing policies of welcoming foreign human resources and encouraging cultural diversity have made the TZ a destination of choice for thousands of people from all over the world because the country offers individuals diverse opportunities and continuously improving standards of living.

The TZ is also a leader in embracing advanced technologies and adopting them to improve the government's performance as well as people's lives. The Population Register and the National ID Card Project is a prime example. The project will result in a unified National ID Card for citizens and expatriates that will help enhance stability and safety while drastically improving administrative efficiency, benefiting the government and the people.

Our country owes its economic prosperity and social stability to the wise policies initiated and implemented by His Highness President Jakaya Kikwete.

I wish the TZ Identity Authority (TIDA) all success in implementing the National ID Card project in an efficient and smooth manner, and I am confident that TIDA's efforts will have a significant and positive impact in helping the country's march towards further progress.

Mission
According to the decree of incorporation, TZ Identity Authority enjoys the titular character in addition to an independent budget, as it may for the purpose of achieving its targets carry out the following actions and deeds:

1. The registration of personal data for the whole population in the country and saving the same at the electronic data bases in coordination with the competent authorities.


2. Registration of the vital statistic data and connecting the same to the personal data as referred to herein above.


3. Issuing ID cards consisting of the unified number, readable data and the data saved on the electronic chip as the same shall be transacted with before all authorities.


4. Upgrading all the data included under the provision of the previous paragraphs when the same is required.


5. Provision of individuals' identity confirmation and identification services before all federal and local government authorities and any other authorities in addition to the determination of the applicable methodologies for the achievement of the same in accordance with the executive panel.


6. The right to request the required data and information which may serve the targets of the authority from the competent authorities in the country.
GOD MAY BLESS TZ.
 
Vitambulisho vya Taifa utata mtupu

Mwandishi Wetu Novemba 26, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo

Muda wa kuthibitisha maombi ya wazabuni waongezwa

Baadhi walalamika kutumiwa barua muda ukiwa umeshakwisha

MRADI wa Vitambulisho vya Taifa umekumbwa na utata mwingine baada ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuongeza muda wa kuweka wazi matokeo ya zabuni hiyo, jambo lililoyachanganya makampuni yaliyoomba.

Kwa mujibu wa barua iliyotumwa kwa makampuni yaliyoomba zabuni ya kutengeneza vitambulisho hivyo, makabrasha ya maombi yalifunguliwa Juni 25, mwaka huu, uthibitisho wa zabuni ungefanyika ndani ya siku 84, lakini kutokana na wingi wa maombi tuliyopokea tumeongeza muda wa uthibitisho wa uhalali wa maombi yako.

Barua hiyo, yenye kumbukumbu CAB/48/468/01/109 ya Oktoba 16, 2008, inasema kuwa kutokana na wingi wa maombi ya zabuni hiyo, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inawaomba waombaji kuiandikia tena ndani ya siku 30 tangu muda wa kuandika barua hiyo ya Wizara, Oktoba 16, 2008.

Kwa mujibu wa barua hiyo, zabuni hiyo inatambuliwa kama MoHA/NIDA/PQ/2007.08/01 for the Implementation of the National Identification System Based on Smart Card Technology.

Kwa hiyo tunakuandikia ili kukuomba uweze kutuandikia ili kuongeza muda wa kuthibitisha maombi yako kwa kipindi kingine cha siku 30 kuanzia tarehe ya barua hii, ili kutuwezesha sisi tumalizie mchakato wa maombi.

Barua ya majibu ni lazima iletwe na tarishi kwa Katibu, Bodi ya Zabuni ya Wizara, Wizara ya Mambo ya Ndani, Mtaa wa Ohio/Ghana, Dar es Salaam, Tanzania, na ipokewe ndani ya siku 14 tangu tarehe ya barua hiyo.

Maombi ambayo hayatazingatia uhalali wa muda huo yatabatilishwa bila kupewa taarifa yoyote ya ziada, ilisema barua hiyo, ambayo imesainiwa na A.M. Wambura, Katibu wa Bodi ya Zabuni ya Wizara na nakala zake kupelekwa kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na Mratibu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ndani ya Wizara hiyo.

Baadhi ya waombaji wa zabuni hiyo waliozungumza na gazeti hili walieleza wasiwasi wao kuhusu mwelekeo wa mradi huo, hasa kwa kuwa barua hiyo imechelewa kuwafikia kwa sababu ilitumwa kwa njia zisizo za kawaida na kuwafikia wakati siku zilizotajwa na barua ya Wizara zikiwa zimepita.

Baadhi yao wanaamini kwamba hilo lilifanywa kwa makusudi ili kuwaengua katika patashika ya kumpata mshindi na kumfagilia njia yule ambaye Wizara inamtaka.

Lakini Raia Mwema ilipomtafuta Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, juzi Jumatatu, hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa njia ya simu, na badala yake akasema yatumwe maombi maalumu ya kumwona.

Mimi siwezi kuzungumzia suala hilo kwenye simu. Ni lazima uombe appointment, uje ofisini ndipo uniulize maswali hayo, kwa sababu na mimi ninahitaji kuwa na wasaidizi wangu, alisema.

Raia Mwema ilipomwomba ipangiwe muda wa kumwona, Masha alisema apigiwe tena simu saa moja baadaye, wakati huo ikiwa ni saa 4.10 asubuhi ya juzi Jumatatu.

Hata hivyo, Masha alipopigiwa simu majira ya saa 5.10, yaani saa moja baadaye, mtu mwingine alijibu kuwa alikuwa katika kikao na hivyo apigiwe tena saa moja nyingine ambayo ingefuata. Juhudi zaidi za kumpata hazikufanikiwa.

Mradi huo uumekuwa ukigubikwa na utata mara kwa mara huku kukiwa na sura dhahiri ya ukosefu wa uwazi, na hata kujenga hisia kwa baadhi ya watu kuwa ni kinyanganyiro cha ulaji.

Wiki ya Mei 14 na Mei 20, mwaka huu. Masha alitangaza kuwa zabuni ya mradi huo ingetangazwa kabla ya mwisho wa Mei mwaka huu, lakini tayari ofisi ya mradi huo ilikuwa ipo na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) alikuwa ameteuliwa.

Mradi wa Vitambulisho vya Taifa umekuwa ukipita katika hatua za kuiva na kufifia, kwa kuwa zabuni ziliwahi kushindaniwa, washindi wakapatikana, lakini hazikutangazwa hadharani, ikiwamo kampuni mmoja kutoka Malaysia.

Miaka takribani 10 iliyopita kampuni kutoka Malaysia ilishinda zabuni ya utengenezaji wa Vitambulisho vya Taifa, lakini zoezi zima halikutangazwa kwa umma.
 
Vitambulisho vya Taifa utata mtupu

Mwandishi Wetu Novemba 26, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo

[/color]

Imani yangu ni kuwa uteuzi wa RUTABANZIBWA huku unaweza kuleta tija katka kazi hii. Endapo this ime hatakubali yaishe kama ilivyokuwa ya IPTL na vilevile kukubali ujinga wa Meremeta na madudu mengine.....

Tanzanianjema
 
Vitambulisho vya Taifa kutolewa mwaka huu
Halima Mlacha
Daily News; Thursday,January 08, 2009 @21:15

Serikali imesema vitambulisho vya Taifa vitaanza kutolewa rasmi mwaka huu na mchakato wa kumtafuta mkandarasi unatarajiwa kukamilika baada ya miezi minne kuanzia sasa. Pia katika hatua nyingine, imeahidi kufanya kila iwezalo kuhakikisha wauaji wa maalbino wanadhibitiwa, na hadi sasa watuhumiwa zaidi ya 100 wamekamatwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, juu ya mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Nne, Waziri Lawrence Masha, alisema tayari michakato muhimu juu ya vitambulisho hivyo imekamilika.

Tayari tumeshaunda Mamlaka ya Vitambulisho na itajulikana kama NIDA, ofisi imepatikana na Mratibu wa Vitambulisho, Dickson Maimu, ameteuliwa na vitambulisho vitaanza rasmi kutolewa mwaka huu, alisema Masha.

Akizungumzia mauaji ya maalbino, Masha alisema hiyo ni moja ya changamoto ambazo zinaikabili wizara hiyo, kwani mauaji hayo ni aibu kubwa kwa Taifa hasa kutokana na dhana kuwa hufanywa kwa imani za kishirikina.

Alisema katika salamu zake za mwaka mpya, Rais Jakaya Kikwete, alisema kimeanzishwa kikosi kazi maalumu kilichojumuisha maofisa wa Polisi na wa Usalama wa Taifa, ili kufuatilia na kukomesha kabisa tatizo hilo.

Aliongeza pia kuwa wizara hiyo katika kipindi cha miaka mitatu ya utekelezaji katika kukabiliana na rushwa, imefukuza askari 44 na wengine kesi zao zinaendelea ikiwa ni pamoja na kuendeleza juhudi za kutoa elimu juu ya athari za rushwa.

Alisema pia katika kipindi hicho, wizara ilikamata wahamiaji haramu 7,568, kati yao 5,712 walifukuzwa nchini na wengine 1,856 wanaendelea kuzuiwa katika magereza nchini wakisubiri kurudishwa kwao. Kuhusu siku saba alizotoa kwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, kutokana na madai ya kutishiwa kuuawa, alisema hadi sasa Mengi hajawasilisha ushahidi.

Nilitoa siku saba kwa Mengi, alete uthibitisho aliosema anao kuhusu vitisho vya kuuawa, hakuleta, ieleweke kuwa wizara yangu inafanya kazi kwa kuchunguza ushahidi, na dhamira yake ni kulinda mali na maisha ya Watanzania, ila DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai) anaendelea na uchunguzi, mtaambiwa nini kinaendelea, alisema.
 
Ni Vitambulishio Vya Taifa, Vitambulisho Vya Uraia, au Vitambulisho Vya Kitaifa?

Kwani vinatambulisha taifa, vinatambulisha utaifa wa mtu, au vinatambulisha mtu ni nani? We must at least get the terminology right.
 
Back
Top Bottom