Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

muungano bado uko imara...kweli..!!!!


Wingu la zanzibar litapita..kwa mazungumzo kama yalivyopita mengine, vyombo vya vinavyohusika viachiwe kushughulikia matatizo kama "yapo".... Rais wetu kweli hayuko serious.
 
watu wasiongelee tena issue za muungano coz wanazidi kukoroga, mh maagizo
 
Anasema kuwa tutumie vikao kutatua matatizo ya Muungano ikiwa kweli kuna matatizo, Je ina maana yeye haamini wala haoni kuwa kuna tatizo?
 
Am listening on the radio kwa wale wanaoangalia on TV nina hakika nayo ile smirk yake anayokuwaga nayo kila siku.
 
Naona kuna walioandaliwa kupiga makofi kwa bidii hata kwenye maneno yasiyo na mwelekeo, ndio Bunge letu hilo!
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 212 (62 members and 150 guests) jf IS GOING STRONG, YAANI HAKUNA MIZENGWE KABISA LEO...AS FAST THAN EVER..VERY GOOD TO ALL.
 
vitsho hivyo vimeanza, washauri wakuu na wajumbe wa hizo kamati waache kulumbana hadharani eti wanauwaumiza vichwa wananchi
 
Ni kama anawapiga mkwara wabunge wasiongelee suala la Muungano sababu wanafaidisha Wananchi.Ancchokizungumza ni sawa na kile alichosema Mzee Mwanakijiji kuhusu Muungano.

Nadhani uliwasaidia sana kusema haya leo
 
Naona wabunge wa chama tawala wanapiga makofi kwa nguvu sana hata pumba.....waliandaliwa nini kumshangilia rais wao????
 
Wabunge wana mwaga makofi hata pasipo sitahili nadhani lazima hawa watakuwa ni Serukamba, Komba,chitalilo, Karamagi, Lowassa, Kingunge and the like
 
Back
Top Bottom