Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Haya sasa, wazanzibar mshapata majibu yenu, tunawasubilia mtasemaje

Mshaambiwa kuwa Zanzibar sio nchi
naona anashukuru sasa anamaliza nini?

Huyu navyomuona kama vile anataka kuconclude vipi vasco?
 
Wabunge hawawachemshi, wanawahenyesha mawaziri. Maslahi ya Wabunge yataendelea kuboreshwa.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 220 (67 members and 153 guests)
Lasthope, 7ceven, Augustoons, BabaH, badonipo, Bazobonankira, bill, bj, Bubu Msemaovyo, Democrasia, Fatuma, fidel80, gamaha, Gembe, haika, Icadon, ilongo, jacobae, KADUGUDA, Kamende, Keil, kijunjwe, kilongwe, Kinyamana, korosho, Lady Capricorn, ladymzuri, Liganga, lizzard, Lusajo, masikini, maskini mimi, Mfamaji, mfwatiliaji, middle, MiratKad, Mkaguzi, Mnyoofu, mpiganajinambamoja, Mtanzania, MTM, muadilifu, mujuni2, mukubwa, Mulugwanza, mwakyj, Mzee Mwanakijiji, ngonalugali, ngorunde, nono, norbit, power to the people, saida, Scorpion, sikonge, single D, SKILLS4EVER, Tshala, Tuandamane, tzengo, UFUNUO WA YOHANA, Verily Verily, visenti, WildCard, Yebo Yebo, Zanaki, Zion Train
 
Msimamo wa serikali ya muungano Zanzibar sio nchi, wanaobisha wajinyonge maana ameshamaliza kuliongelea.

Sasa anaongelea muafaka na blah blah nyingi na kuwashukuru wabunge kama anamalizi ahutuba huku bado anaendelea.

Anaendelea kuwalainisha wabunge, makofi wawaaaa... weshaliwa!
 
Anazunguka tu ofisi za wabunge hizo za nini???eleza matatizo ya wananchi na jinsi gani utayatatua....
 
JK ameahidi kutimiza programme ya kujenga ofisi kwa kila mbunge kwa gharama ya mil 40 kwa kila ofisi...!!! Pia kutakuwa na mfuko wa majimbo ili wabunge wakiwa majimboni mwao wakiombwa mabati wawe na cha kuwapa wapiga kura wao.
 
Anaongelea uanzishwaji wa mifuko ya maendeleo ya majimbo kwa ajiri ya kusimamia maendeleo majimboni.
 
Bunge. -Shukrani kwa ushirikiano.
- Mafanikio ni kupitia Bunge
-Mawaziri wanahenyeshwa
- Bajeti ya Bunge imeongezwa mara mbili kasoro billion 2 (anajisifu)
Seriakli imekubali kuanzisha mfuko wa Majimbo ???????
 
Sasa wale viongozi waliosema Zanzibar ni nchi hadi kiama ni heri wajiuzulu! Ndiyo uungwana.
 
mmh anaongeza ulaji tu waheshimiwa yaani bajeti duh!!kazi ipo mishahara bado duni....
Anajimegea kuongeza majaji wanawake
 
Anaongelea umuhimu wa serikali kuimalisha mahakama ili ziweze kufanya kazi zake kwa ufanisi, Budget ya mahakama imeongezwa na itaendelea kuongezwa ili wafanye kazi kwa ufanisi, serikali imeongeza majaji kutoka 9 mpaka 15 mahaka ya rufaa, majaji wapya 32 na kufikia 56 kwa mahakama kuu na wengi ni wanawake, miundo mbinu imemalishwa kwa kuwasaidi akutoa haki kwa wananchi.
 
I can't believe this!
For 40 minutes now it has been "longolongo", and a little bit of Zanzibar. He went off the rail to praise Lowasa!
Let's see the conclusion.
 
Back
Top Bottom