Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

takwimu za kesi za rushwa (2005-2008)
takwimu za: (a)kesi zilizopokelewa, (b)kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika, (c)watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu, (d)kesi zilizofunguliwa mahakamani, (e)kesi zilizoendelea kuendeshwa katika mahakama mbalimbali, (f)kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

mwaka a b c d e f
2005 3,121 540 111 50 202 6
2006 6,320 1,688 209 71 205 18
2007 8,235 2,015 280 196 272 35
07/2008 3,840 615 36 80 288 24

ongezeko la utendaji kazi kwa asilimia
(a)taarifa ambazo zilipokelewa (b) kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika (c) watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu (d) kesi zilizofunguliwa mahakamani (e) kesi zilizoendelea kuendeshwa katika mahakama mbalimbali (f) kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

mwaka a b c d e f
2005 - - - - - -
2006 102% 213% 88% 42% 2% 200%
2007 164% 273% 152% 292% 35% 483%

muheshimiwa rais jiridhishe kabla hujasoma hotuba hiyo bungeni ama sivyo utakuja kuumbuka mambo mengine yakifumuka.

fyi muhstari
 
ayaaaaaaaaaaaaaaa mtuhumiwa wa kesi ya rushwa ya rada katoroka duh!!
 
Mheshimiwa Rais yupo anahutubia BUNGE huko Dodoma hadi sasa ameongelea mambo yafuatayo (BADO EPA)
- Vyombo vya ulinzi na Usalama : kazi wamefanya nzuri SAAANA
- Zanzibar ni Nchi au si Nchi: Hapa amesema huu mjadala is "very unfortunate" ila akasisitiza kuwa ni swala la MTIZAMO TU
- Mpasuko wa Zanzibar : Mambo mengi yameshatafutiwa ufumbuzi na bado kazi inaendelea
- BUNGE : Anawashukuru sana na amewaongezea budget
- Mahakama : Anaishukuru sana na budget imeongezwa
- TAKUKURU : Sheria mpya imepitishwa kuchukua ile ya mwaka 1971 ikiwa imesheena makosa 24 uklinganisha na 4 ya 1971, pili, ni kuimarisha chombo chenyewe (capacity building), na yote kwa yote mafanikio yameanza kuonekana, anaenedelea kutoa takwimu sasa na hizo ni kedekede (sitaziandika hapa). Sheria ya manunuzi ya UMMA ndio mwanya mkubwa na serikali inaendelea kulitizama hilo. Rushwa kubwa pana kesi mbili, ikiwamo ya RADA na zingine sita zipo kwenye "pipeline". Watanzania TUWE na SUBIRA. Hapa anazidi kusisitiza kuwa kesi za rushwa zinahitaji uchunguzi
 
Muheshimiwa Rais Kikwete atalihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania siku ya alhamisi. Katika hotuba yake hiyo mojawapo ya mambo atakayozungumzia ni tuhuma za ufisadi zinazowakabili baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali yake.

Sehemu mojawapo ya hotuba hiyo itazungumzia mapambano dhidi ya ufisadi, sehemu hii ya hotuba nimepewa na mmoja wa wanyeti wangu wa siku nyingi ambaye yuko Ikulu. Alisikitika kuwa iwapo hii hotuba ikisomwa kama ilivyo itawanyamizisha wabunge wapiga kelele kwani itaisafisha TAKUKURU na uongozi wake. Mnyeti huyo amenithibitishia kuwa wao kama Ikulu wanajua kuhusu uozo uliopo TAKUKURU na anakiri kuwa kuna mapungufu mengi sana ya kiutawala na kimaadili katika taasisi hiyo nyeti.

sehemu ya hotuba hiyo ambayo ikulu wamepata takwimu kutoka TAKUKURU inajumuhisha uongo na taarifa zilizotengenezwa kuwadanganya watanzania zikionyesha kwamba tangu Hoseah aingie madarakani utendaji wa kazi umeongezeka kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano ripoti hiyo inaonyesha ongezeko la asilimia 292% katika kesi zilizopelekwa mahakamani. Ripoti hiyo inaendelea kudanganya kwa kuwaambia wabunge na watanzania waendelee kuwa na subira eti kesi za grand corruption zinachukua muda mrefu kufanyiwa kazi. Ukweli ni kuwa taarifa hii imelenga kuwanyamazisha wabunge wanaohoji kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya kamati ya tume ya mwakyembe yaliyotolewa bungeni.

Sitakuwa na muda wa kuichambua hotuba nzima hapa, Kwa mfano kuna kipengele kinachosema kuwa mafanikio yaliyopatikana tangu mwaka 2006 TAKUKURU imefungua ofisi za wilaya. Huu ni uongo na upotoshaji kwani kwa taarifa nilizonazo toka ndani ya TAKUKURU ni kuwa tokea uongozi mpya wa TAKUKURU uingie madarakani mwaka 2006 hakuna ofisi zozote mpya za wilaya zilizofunguliwa na TAKUKURU imefunga ofisi za wilaya zipatazo 20 kwa kisingizio cha kubana matumizi wakati bado wilaya hizo zinapigiwa hesabu kwenye budget.

Taarifa za kwamba ndani ya TAKUKURU hali ni mbaya, morari ya wafanyakazi ipo chini sana na mgawanyiko wa viongozi ni mkubwa tayari zimeshafika ikulu siku nyingi.

Katika taarifa hiyo wanaongelea mafanikio waliyoyapata katika mapambano dhidi ya rushwa tangu 2006 na wametaja kuhusu uchunguzi wa manunuzi ya rada. Hivi kweli kama kesi moja tu ya rada inawachukua miaka zaidi ya minne kuimaliza, hawa TAKUKURU wako serious? Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba uchunguzi wa radar haufanywi na takukuru bali unafanywa na SFO ya uingereza, TAKUKURU wao ni bendera fata upepo tu.

Hii ni sehemu ya takwimu za mafanikio ya mapambano dhidi ya ufisadi zilizoingizwa kwenye hotuba itakayosomwa kesho.

TAKWIMU ZA KESI ZA RUSHWA (2005-2008)
Takwimu za: (A)kesi zilizopokelewa, (B)Kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika, (C)Watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu, (D)Kesi zilizofunguliwa Mahakamani, (E)Kesi zilizoendelea kuendeshwa katika Mahakama mbalimbali, (F)Kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

Mwaka A B C D E F
2005 3,121 540 111 50 202 6
2006 6,320 1,688 209 71 205 18
2007 8,235 2,015 280 196 272 35
07/2008 3,840 615 36 80 288 24

ONGEZEKO LA UTENDAJI KAZI KWA ASILIMIA
(A)Taarifa ambazo zilipokelewa (B) Kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika (C) Watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu (D) Kesi zilizofunguliwa Mahakamani (E) Kesi zilizoendelea kuendeshwa katika Mahakama mbalimbali (F) Kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

Mwaka A B C D E F
2005 - - - - - -
2006 102% 213% 88% 42% 2% 200%
2007 164% 273% 152% 292% 35% 483%

Muheshimiwa Rais jiridhishe kabla hujasoma hotuba hiyo bungeni ama sivyo utakuja kuumbuka mambo mengine yakifumuka.
Huu ukweli Mtupu!!!!rais kazungumza na rais katuumba tuwe na subira..Kuna wakati niliwaambia kuhusu Dr. Hoseah na JK,uswahiba wao uametoka wapi hauwezi kuwatenganisha.

Nchi hii nadhani Rais anadangwanywa na watendaji wao
 
sasa jipya liko wapi? keshawatetea wooooooooooote, mh this guy is crap
 
hapa naona yaliyo anzisha hii thread ni ya kweli kabisa. kila kitu hivyo hivyo
 
wapiga makofi wamepungua sijui wamechoka au wamegeukwa saizi kimyaa!!!!!! haya sasa kesi ya rada..
 
jamani jamani sijui niache kusikiliza. hamna kitu..
anaanza kutetea sababu za kushindwa kuchukua hatua za wala rushwa wakubwa, eti ni ngumu kuchukua hatua kwa kuwa uchunguzi ni mgumu
 
Muheshimiwa Rais Kikwete atalihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania siku ya alhamisi. Katika hotuba yake hiyo mojawapo ya mambo atakayozungumzia ni tuhuma za ufisadi zinazowakabili baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali yake.

Sehemu mojawapo ya hotuba hiyo itazungumzia mapambano dhidi ya ufisadi, sehemu hii ya hotuba nimepewa na mmoja wa wanyeti wangu wa siku nyingi ambaye yuko Ikulu. Alisikitika kuwa iwapo hii hotuba ikisomwa kama ilivyo itawanyamizisha wabunge wapiga kelele kwani itaisafisha TAKUKURU na uongozi wake. Mnyeti huyo amenithibitishia kuwa wao kama Ikulu wanajua kuhusu uozo uliopo TAKUKURU na anakiri kuwa kuna mapungufu mengi sana ya kiutawala na kimaadili katika taasisi hiyo nyeti.

sehemu ya hotuba hiyo ambayo ikulu wamepata takwimu kutoka TAKUKURU inajumuhisha uongo na taarifa zilizotengenezwa kuwadanganya watanzania zikionyesha kwamba tangu Hoseah aingie madarakani utendaji wa kazi umeongezeka kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano ripoti hiyo inaonyesha ongezeko la asilimia 292% katika kesi zilizopelekwa mahakamani. Ripoti hiyo inaendelea kudanganya kwa kuwaambia wabunge na watanzania waendelee kuwa na subira eti kesi za grand corruption zinachukua muda mrefu kufanyiwa kazi. Ukweli ni kuwa taarifa hii imelenga kuwanyamazisha wabunge wanaohoji kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya kamati ya tume ya mwakyembe yaliyotolewa bungeni.

Sitakuwa na muda wa kuichambua hotuba nzima hapa, Kwa mfano kuna kipengele kinachosema kuwa mafanikio yaliyopatikana tangu mwaka 2006 TAKUKURU imefungua ofisi za wilaya. Huu ni uongo na upotoshaji kwani kwa taarifa nilizonazo toka ndani ya TAKUKURU ni kuwa tokea uongozi mpya wa TAKUKURU uingie madarakani mwaka 2006 hakuna ofisi zozote mpya za wilaya zilizofunguliwa na TAKUKURU imefunga ofisi za wilaya zipatazo 20 kwa kisingizio cha kubana matumizi wakati bado wilaya hizo zinapigiwa hesabu kwenye budget.

Taarifa za kwamba ndani ya TAKUKURU hali ni mbaya, morari ya wafanyakazi ipo chini sana na mgawanyiko wa viongozi ni mkubwa tayari zimeshafika ikulu siku nyingi.

Katika taarifa hiyo wanaongelea mafanikio waliyoyapata katika mapambano dhidi ya rushwa tangu 2006 na wametaja kuhusu uchunguzi wa manunuzi ya rada. Hivi kweli kama kesi moja tu ya rada inawachukua miaka zaidi ya minne kuimaliza, hawa TAKUKURU wako serious? Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba uchunguzi wa radar haufanywi na takukuru bali unafanywa na SFO ya uingereza, TAKUKURU wao ni bendera fata upepo tu.

Hii ni sehemu ya takwimu za mafanikio ya mapambano dhidi ya ufisadi zilizoingizwa kwenye hotuba itakayosomwa kesho.

TAKWIMU ZA KESI ZA RUSHWA (2005-2008)
Takwimu za: (A)kesi zilizopokelewa, (B)Kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika, (C)Watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu, (D)Kesi zilizofunguliwa Mahakamani, (E)Kesi zilizoendelea kuendeshwa katika Mahakama mbalimbali, (F)Kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

Mwaka A B C D E F
2005 3,121 540 111 50 202 6
2006 6,320 1,688 209 71 205 18
2007 8,235 2,015 280 196 272 35
07/2008 3,840 615 36 80 288 24

ONGEZEKO LA UTENDAJI KAZI KWA ASILIMIA
(A)Taarifa ambazo zilipokelewa (B) Kesi ambazo uchunguzi wake ulikamilika (C) Watumishi waliochukuliwa hatua za kinidhamu (D) Kesi zilizofunguliwa Mahakamani (E) Kesi zilizoendelea kuendeshwa katika Mahakama mbalimbali (F) Kesi zilizoshinda na watuhumiwa kuhukumiwa vifungo mbalimbali

Mwaka A B C D E F
2005 - - - - - -
2006 102% 213% 88% 42% 2% 200%
2007 164% 273% 152% 292% 35% 483%

Muheshimiwa Rais jiridhishe kabla hujasoma hotuba hiyo bungeni ama sivyo utakuja kuumbuka mambo mengine yakifumuka.

Aisee kuhusu Takukuru JK kazungumza kama ulivyoandika hapo juuu!!

Duh JK ana kazi kubwa sana na mi data anazoletewa!, hivi hana watu wanahakiki data au report anazoletewa????
 
Anaongelea Rushwa!

umuhimu wa wananchi kushirikiana na vyombo vya dora, na anawashukuru waandishi wa habari na wabunge kwa kazi wanayofanya kwa rushwa

serikali imejenga uwezo kwa TAKUKURU kwa kuandaa sheria mpya ya TAKUKURU.

Kuimarisha TAKUKURU kwa kuwangozea pesa za kufungua ofisi kila wilaya na kuajiri watumishi wapya.

Taharifa za uchunguzi zimeongezeka na anataja data ambazo tayari tunazo hapa sitaziandika.

Focus ya TAKUKURU ni kwenye sheria ya manunuzi ya umma, na mikataba mikubwa.

Blah blah kama zilivyokwisha semwa kwenye thread yetu tangia juzi na kuwaomba watanzania wavumilie na kusubiri TAKUKURU wafanye kazi.

Ni kazi kupata taharifa za pesa zilizowekwa nje ya nchi
 
Usanii umezidi sana nchi hii,mie nadhani kila mtu mwenye kufanya ufisadi aendelee tu sababu viongozi hawana uchungu na nchi hii.
 
ni yupi huyo jamani???

vithlani, yule ambaye serikali inasema anayetafutwa na interpol lakini hayumo kwenye website ya wanted list ya interpol....cha msingi "tuonekana tunafanya kazi...!!!" hii kweli ni kauli makini kwa kiongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom