Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Anasema "usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli! ......." anaendelea "Sina maana hiyo ya Khalifa ......lakini kula, liwa, Ule"
Uswahili kwenda mbele. Ipo kazi.
 
Tatizo la TZ ni jinsi ya kutumia kile kidogo tulicho nacho. Tuna mapesa ya kutosha kufanya changes mbalimbali ila tu ni kama hizo pesa hazifiki kwa walengwa.
 
Nimeelewa kuwa inabidi TULIWE FEDHA ZETU (watule) WAKISHASHIBA BAADAYE NASI TUTAKULA.

Tatizo ni kuwa HAWASHIBI!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo dada zetu wataliwa na visingizio rais kasema. Ukitaka ajira, lazima uliwe kidogo, ukitaka huduma lazima uliwe kidogo. kwi kwi kwi!!!
 
Rais wa Jamhuri anasema maneno ya kuliwa na kuliwa uliwe, kweli Mungu aibariki hii Jamhuri,

Mwalimu pole sana huko kaburini, maana this is beyond imagination!
 
"usipokuwa tayari kuliwa kidogo huwezi kula...huwezi kutaka kula tu bila kuliwa...sina maana hiyo"....kweli raisi tunaye watanzania.

Uliwe kidogo utakula sasa unataka kula tu bila kuliwa? sina maana hiyo - By JK
 
"1 million jobs is like a drop in the ocean ukilinganisha na tatizo la ajira lililop hivi sasa" kama anaongelea ajira za house boy this is a major problem
 
....and the Waheshimiwaz are actual CLAPPING!!!???!!! I definitely dont see (Hear!) anything to clap for....! Poor We.
 
madini,nimekisimamisha kasaa kangu kama mwalimu wa michezo, yani kazungumza sekunde 49 tu kuhusu madini, mhmm hata si bure wewe raisi mbona mrahisi hivyo?
 
Aliposema "usipokubali kuliwa hutakula" wabunge wamecheka sana, akarudia, wakacheka tena zaidi sana sana, Rais akashtuka akasemaaa... "Sina maana hiyo ya Mh. Khalifa" mmoja wa wabunge waliocheka sana.

Maana yake basi aidha "wabunge wote pamoja naye JK ni wahuni ama basi tukubali kuibiwa ili mambo yaende mbele". Hizi ni in-direct messages kuhusu nini kinaendelea.
 
Kila kata ina secondari yake....anaongelea hilo anasema ni success.

Nangoja aseme shule zimejengwa lakini WAALIMU HAMNA...namngoja aseme hivyo nimpe "A" nyingine.
 
JK anajua mahesabu kweli? Wabunge pekee wametengeneza ajira kama 2000, sawa. Kama wabunge wa bunge lililopita walikuwa na ajira kama 1800, ina maana ajira zilizoongezeka hapo ni 200 tu na wala sio 2000.

Inaelekea kwenye mahesabu yake hakuna kutoa, ni kujumlisha tu. Mtanzania akihama toka Celtel na kwenda Tigo, kwa JK hapo anahesabu ni ajira moja mpya.
 
Rais wa Jamhuri anasema maneno ya kuliwa na kuliwa uliwe, kweli Mungu aibariki hii Jamhuri,

Mwalimu pole sana huko kaburini, maana this is beyond imagination!

yes,tumeliwa, eti kutangaza kuhusu utalii tz cnn ni dola sijui laki saba na nusu,kweli walitula. hii liwa hili ule insound kama takrima ruksa.
 
Back
Top Bottom