Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Hotuba ndo imekwisha sasa tuchambue pumba na mchele hapo.
 
Rais hakutegema kusema kiasi hicho, makofi kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa

Inaonyesha jamaa wamechoka kumsikilza
 
Waheshimiwa: Zitto, Dr Slaa, Hamad Rashid hebu tupeni tathmini ya hotuba ya Rais!!!

Ingieni kwa user name za majina yenu tafadhali!
 
hakuna mchele ni pumba tupu. tumeliwa, katupotezea muda wetu
 
Bwana awe nanyi........ Ibada imekwisaha .Nendeni kwa amani
 
Mr president kamaliza, hamna jipya na mtegemee maumivu zaidi. Kamaliza story
 
Jamani kwanini hamtaki nabii wenu amalizie hotuba yake ? Si ndio nyie mlio mpa unabii mlisema ni chaguo la mungu ? Au sio nyie sasa mnataka nini
 
Soka soka soka soka

Tunataka tufikie kiwango cha Cameroon\

Ebo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lakini TFF wasitegemee kuwa ahadi yangu ni ya milele. Na wao watafute namna ya kumwajiri mwalimu wakati ujao
 
C.C.M oyeeeeeeeee Kandoro sasa anaandaa kamati ya mapokezi....sijui gharama za nani?
kidumu CHAMA CHA MAPINDUZIII....
C.C.M oyeeeeeeeeeeee!
Jamani mafisadi wamepumua wa RICHMOND nao wataunda party au picnic.
AHSANTENI.
 
makofi..kamaliza,hakutegemea kusema kiasi hiki,anasema amekuja kuwapa tarifa kule alikotoka na mpaka ha tulipo.mambo ambayo hajayazungumzia ni kama yafuatayo

1.Suala la RICHMOND,Je pesa za RICHMOND nani alilipwa na ripoti ya kamati ya kina mwakyembe walilipwa pesa nyingi ila hajaona effect yake.

2.Nafikiri sasa ,Lowasa anaweza kurudishwa madarakani ,Tuendelee kumpa ushirikiano

3.Suala la DOWANS,hajaelezea nini kifanyike.

4.Suala la Kamati ya Madini ya kina,Je nini kitafanyika na Ripoti alipewa na alimpa waziri wiki mbili alifanyie kazi na mapendekezo..muda ulishapita ila hatujaona chochote

Mungu mbariki Rais Wetu,Mbariki Jakaya kikwete.


 
Tumeumia. Mafisadi leo ni Kubanjuka Kubanjuka kubanjuka mpaka chini
 
Congratulations Mr.President for being able to speak for such a long time. However its not worth it, naona hata nguvu ya kupiga makofi wabunge imepungua wamechoka na hawaelewi main topic ya leo, ni kilimo,epa,mishahara ya walimu,muungano au hali ya uchumi?its just too confusing for their minds to catch.

Bora angetwambia Watanzania kwamba hana chochote cha kuzungumza, kuliko kutupotezea mamilioni ya Watanzania muda wetu wa kufanya mambo ya maana badala ya kukaa mbele ya Radio zetu, TV na kwenye mtandao kusikiliza pumba zake.

Sasa yuko nje moja kwenda kuendeleza UVDG wake.
 
Anatushukuru watanzania kwa "uelewa wetu" AKA Udanganyifu wetu. Tuendelee kuuamini uongozi wake ili upate ari ya kutuongoza maana sote tunajenga nyumba moja tusigombee fito.

Ahadi anasema ataendelea kuchapa kazi kwa moyo wote na ikiwezekana zaidi ya hapo. Nia tunayo, Sababu tunayo na uwezo pia tunayo. Kila mmoja atimize wajibu.

Asanteni sana kwa kunisikiliza.

Hapo ndipo mwisho wa EPA RICHMOND na mengine.

ILA ZANZIBAR SI NCHI- Jakaya Kikwete
 
Waheshimiwa: Zitto, Dr Slaa, Hamad Rashid hebu tupeni tathmini ya hotuba ya Rais!!!

Ingieni kwa user name za majina yetu tafadhali!!!!!!!!

subili watakuja tu ngoja Mungwana aondoke...
 
Solution ni kumleta Robin Wood kuja kufanya vitu vyake dhidi ya mafisadi.
 
Amemaliza sasa ni wakati wa kurate hiyo hutuba.

Swala la
  1. Zanzibar.................................. A
  2. Swala la Shilingi ...................... F
  3. Swala la kipato cha mtanzania ..... C
  4. Swala la wafanyakazi ................ B
  5. Swala la Michezo ....................... A+
  6. Swala la EPA ......................... F
  7. Swala la Rushwa ....................... F
  8. Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma C
 
Back
Top Bottom