Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile kabrasha kubwa tuliloliona akipewa kumbe ni maelezo ya maombi ya kuongezewa muda? Ajabu.kamati haijamaliza kazi. imeomba kuongezewa muda
si ameshasema kuwa zile hela si zetu ni za watu,, sasa anaagizaje zitumike kama ruzuku???? Au sijaelewa?????
Uchunguzi wa makampuni 22, makampuni 9 uchunguzi wa ndani umekamilika ila wa nje bado. Police itashirikiana na Interpol kukamilisha. Kamati imeomba kibali kuendelea na uchunguzi mpaka watakapopata report ya Interpol-Ombi limekubaliwa
Makampuni 13 yaliyobaki, waliokwapua kadiri ya 90b, yamebanwa, wamenyanganywa passport, mali na hata magari yamekamatwa. Mapaka 18 August 53.7b zimeshakusanywa na zimerejeshwa. Waliobaki wameahidi kulipa mpaka mwishoni mwa October 08, 74% ya pesa itakuwa imesharudishwa.
Raisi ameagiza wasiolipa mpaka hiyo October 08, wapelekwe mahakamani!!!!!!!!!
Jibu ni ndiyo,wanarudisha pesa baada ya kupata faida,zile ziingine ..().. zitarusishwa na wafanyabiashara.
Kwanini tusiwazirie nchi??
Jibu ni ndiyo,wanarudisha pesa baada ya kupata faida,zile ziingine ..().. zitarusishwa na wafanyabiashara.
Kwanini tusiwazirie nchi??