Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
october 31 mwisho tar. 1 november mahakamani. ina maana waliorudisha hawatashtakiwa?
wezi wa epa wamefilisiwa mali na pasipoti wamenyanganywa.
bil 53 zimekusanywa.
october 31 mwisho tar. 1 november mahakamani. ina maana waliorudisha hawatashtakiwa?
jibu ni ndiyo,wanarudisha pesa baada ya kupata faida,zile ziingine ..().. Zitarusishwa na wafanyabiashara.
kwanini tusiwazirie nchi??
Mpaka 01 November watakuwa wamelipa TZS Bil. 64 ambaye hajalipa atapelekwa mahakamani.
Je wakilipa hawatakwenda mahakamani? kwahiyo ukiiba na kukamwatwa ukirudisha hakuna kushitakiwa?