Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Kumbe watu wa EPA ni watu kurudisha PESA...it is soo sad
 
october 31 mwisho tar. 1 november mahakamani. ina maana waliorudisha hawatashtakiwa?
 
NAshanga rais anampa mtuhumiwa muda wa kurudisha fedha ama kweli rais tunaye... eti mpaka tr.1Novemba.
 
Mahakamani tarehe 1 November kama watakuwa hawajalipa pesa hiyo...

Grace Period

Tarehe moja november mshike mshike
 
still the same weird story, that 60%of the stolen money has been returned in a special account, Who returned?and through which means still remains to be unrevealed mysteries.

Sometimes I doubt the reasoning of our leaders when making speeches? arent all these things hes mumbling of been spoken in his past speeches? disgusting.
 
Uchunguzi wa makampuni 22, makampuni 9 uchunguzi wa ndani umekamilika ila wa nje bado. Police itashirikiana na Interpol kukamilisha.

Kamati imeomba kibali kuendelea na uchunguzi mpaka watakapopata report ya Interpol-Ombi limekubaliwa
Makampuni 13 yaliyobaki, waliokwapua kadiri ya 90b, yamebanwa, wamenyang'anywa passport, mali na hata magari yamekamatwa. Mapaka 18 August 53.7b zimeshakusanywa na zimerejeshwa. Waliobaki wameahidi kulipa mpaka mwishoni mwa October 08, 74% ya pesa itakuwa imesharudishwa.

Raisi ameagiza wasiolipa mpaka hiyo October 08, wapelekwe mahakamani!
 
Duh Ukiiba Tanzania , rais anakusamee? Nimekata tamaa na hatima ya Tanzania. Nyerere umeyasikia hayo. Sokoine, usilie.... huyu kijana mlimwandaa wenyewe
 
kama yupo serious majina yao yatajwe, na je interest watalipa pia
 
Mpaka 01 November watakuwa wamelipa TZS Bil. 64 ambaye hajalipa atapelekwa mahakamani.

Je wakilipa hawatakwenda mahakamani? kwahiyo ukiiba na kukamwatwa ukirudisha hakuna kushitakiwa?
 
october 31 mwisho tar. 1 november mahakamani. ina maana waliorudisha hawatashtakiwa?

Jibu ni ndiyo,wanarudisha pesa baada ya kupata faida,zile ziingine ..().. zitarusishwa na wafanyabiashara.

Kwanini tusiwazirie nchi??
 
wezi wa epa wamefilisiwa mali na pasipoti wamenyanganywa.

bil 53 zimekusanywa.

Mbona akina Nyange Arusha wanaponda raha na akina Benson kila siku kubadilisha magari?
Mnafiki mkubwa huyu JK!
 
Lakini kwa nini Muungwana unakuwa hivyo. Husikii watu wanasema nini ndio utengeneze hotuba ?
 
Referee ameahirisha mpira hadi December 31 mpira utarudiwa na kama ngoma itakuwa draw penati zitapigwa kuanzia tarehe 01.01.2009. MAUMIVU YAKIZIDI FARIKI DUNIA
 
si ameshasema kuwa zile hela si zetu ni za watu,, sasa anaagizaje zitumike kama ruzuku? au sijaelewa?
 
Mpaka 01 November watakuwa wamelipa TZS Bil. 64 ambaye hajalipa atapelekwa mahakamani.

Je wakilipa hawatakwenda mahakamani? kwahiyo ukiiba na kukamwatwa ukirudisha hakuna kushitakiwa?

Sheria mpya hiyo inakuja ila ukae ukijua haitawahusu walalahoi ni wale wenye nazo tuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom