Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

"....Mamlaka ya Rais makubwa sana......lakini mimi kama Rais "nimeshindwa kazi" Jakaya Kikwete
 
Najua hasira za mzee ndesamburo alipo anatamani kama tungekua na sheria kama ya China maanke leo Rais angekua anahutubia na kutoa data za idadi ya mafisadi waliokwisha Nyongwa
 
Sasa pesa hizo si wanaodaiwa ni BOT na BOT iliyo guarantee (au kama ni NBC ambayo ni ya binafsi kwa sasa lakini wakati huo ilikuwa ni ya wananchi) ATAKAYEDAIWA NI NANI KAMA SIO WANANCH?

BOT si ni ya wananchi? au mimi sijamuelewa JK?
 
hela ilyokusanywa na kina mwanyika iko kwenye account ipi?
 
Msanii uyo.Kaazi keli kweli.Na atoe tathmini ya manufaa tuliyopata kutokana na ziara zake.Asije akafikia mahala akanza kuahhidi ooh next month nitakua nje ya nchi bila kutoa faida za safari zilizopita
 
Najua hasira za mzee ndesamburo alipo anatamani kama tungekua na sheria kama ya China maanke leo Rais angekua anahutubia na kutoa data za idadi ya mafisadi waliokwisha Nyongwa

nina uhakika hizo hasira zimeongezewa na njaa!maana hizo porojo zinahitaji moyo ku absorb!
 
Our Father, who art in heaven,
Hallowed be thy Name.
Thy kingdom come.
Thy will be done,
On earth as it is in heaven.
Give us this day our daily bread.
And forgive us our trespasses,
As we forgive those who trespass against us.
And lead us not into temptation,
But deliver us from evil.
[For thine is the kingdom,
and the power, and the glory,
for ever and ever.
Amen.]

Uongo mkubwa fedha zina hang hang pmapesa mengi hayana mwenyewe
 
Back
Top Bottom