Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Huyu ndiye Joti Jr maana nilidhani atafunga bao lakini nashangaa ameuweka kwapani halafu anashangilia kana kwamba kafunga kumbe bado anaenda kati ya uwanja mpira uanze upya.
 
, in auditing hata kama sio shughuli yako or kitu kama hicho, auditor anatakiwa kukagua vitu vyote vilivyo kwenye vitabu vya kampuni husika , iwe balance sheet au off balance sheet, kuhusu ku-appropriate, hiyo haki ipo ikiwa anaye dai hayupo au haonekani kufuatilia hilo deni, infact longoutstanding items katika auditing ni vitu vinavyo raise suspicion, na especially inapo tokea movement.
 
Mimi naona Jk angejua kuna jamvi fulani linaichambua hotuba yake ma kui-criticise kabla hata hajatoka Bungeni basi kesho story ingekua nyingine maanke angejitungia tu kasababu.Siri za serikali
 
tumepigwa bao, kamati ya mwanyika haina chochote cha maana wameomba muda zaidi bila ya deadline na wamekubaliwa
 
Our Father, who art in heaven,
Hallowed be thy Name.
Thy kingdom come.
Thy will be done,
On earth as it is in heaven.
Give us this day our daily bread.
And forgive us our trespasses,
As we forgive those who trespass against us.
And lead us not into temptation,
But deliver us from evil.
[For thine is the kingdom,
and the power, and the glory,
for ever and ever.
Amen.]

Uongo mkubwa fedha zina hang hang pmapesa mengi hayana mwenyewe

Preise the Lord Kwa Kweli.Maana bila kumshirikisha Mungu unaweza kujikuta una commit suicide kwa kuwa Mtanzania!
 
Ujinga huu, miezi zaidi ya sita hawajapata taarifa za nje kuhusu makampuni hayo tisa? Haiwezekani kabisa, tunazugwa na kupotezewa muda.

Haki gani ya watuhumiwa, mbona wao walipokuwa wanaiba hawakujali haki za watoto na akina mama wanaokufa kwa kukosa dawa?

Huu ni usanii.
 
Tutawangojea hawa wadeni kwa muda gani? Ina maanisha tutatenga pesa katika bajeti kila mwaka kulipa hawa watu mpaka lini? Si ndio wizi mwingine huu?
 
Anasema wale wanaomiliki makampuni wamenyanganywa magari.

wamenyanganywa passport,wana khali mbaya

wamekusany billion 53.
 
anataja kiasi kilichokusanywa TZS Bil. 58 kwenye account maharumu hazina na hawakuziweka katika mfuko wa serikali kwa kuwa si mali ya serikali.
 
nahisi kizunguzungu ..eti wamenyang'anywa hati za kusafiria wakati wanaruka kama kawa mmh!
 
sasa unadhani suala la kuongeza Deadline lingekataliwa?Maanake historia inaonyesha Rais wetu Ni Mgonjwa,naam ni mgonjwa wa kutoheshimu muda.Hata kwenye event muhimu yeye hukawia tu
 
Duh John Githongo nachukua nchi. Nataka nikupe kazi ya kuwa Kinara wa SFO, PCCB nawafuta rasmi. CCM nawatangaza kuwa ni Baathi party ....marufuku katika kujiusisha na masuala ya nchi. Miongo yao m4 imekwisha.
 
Back
Top Bottom