Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

MZee 6 sasa anaua anamwambia ulegevu wa serikali ahaadi hewa uwajibikaji aibuu...
 
Nabii mtukufu jk usiwasikilize hawa , hawa hawa ndio walikupa unabii na kukupa cheo cha umungu mtu , leo wanakutosa ina maan ahawakuangalia alama za nyakati hawakujua wakati huo tanzania ilihitaji mtu makini zaidi yako ?
 
Mimi sikusubiri iishe, niliacha nikaendelea na shughuli zangu kwani ilikuwa ina
bore
 
Amemaliza...siamini kama leo Rais alikuwa hana shughuli ya kufanya akaamua kugeuka Fanani wa Tamthilia yake mwenyewe.

Naanza kupata maana halisi ya pesa za sasa za Tanzania kuwa na picha za wanyama badala zile tulizozoea zenye picha ya Rais!

Siku yangu imeharibika kabisa!
 
Hoya hoya wale wa manzese na kigogo kwa nyuma twendeni, ndinga ndo inaondoka hiyoo.

Duh, mshikaji JK mwanasiasa kweli. EPA ameijengea hoja na kuimaliza kisiasa.

Hongera JK
 
Spika 6 sasa anamaliza kabisa naona maneno machache aliyo ongea ni point tupu.
 
Jamani, Spika ameamua kupakia mh. hapohapo bila kukopesha.

Anamtwisha majibu ya ya hotuba yake hapo hapo bila kumkopesha.
 
Lakini kusema za ukweli mimi nawajua watu zaidi ya 2 ambao wameshachukuliwa hatua kutokana na huo mzozo wa epa ulizeni muambiwe , mfano yule kijana wa airport amenyanyanywa tenda ya parking , sikuhizi anatembelea na daladala
 
Jamani, mi nilitoka nilijua tunapoteza muda hata hotuba sikuangalia au kusikiliza live maana ningeacha kazi zangu za kuzalisha na kupoteza muda kumsikiliza msanii wetu mkuu.

Huyu alijua kwamba akiongea kwa muda mrefu wadanganyika mtachanganyikiwa mtasahu aliyoyasema. Alikuwa anajikosha tu. Hana cha kusema. Mafisadi wamemshinda na ye pia yumo kwenye ripoti atafanya nini? Sasa mazingaombwe, hajui wabongo tumefunguka macho?

Haya tuleteeni summary hapa maana siwezi kupoteza muda kusoma transcript yote.
Asanteni kwa taarifa!
 
Mzee Six, anapiga chini ya BELT! Serikali ina watendaji dhaifu.
 
Kilichobaki nchi nzima tuandamane kumlazimisha aachie ngazi!
 
Mwanakijiji habari za usiku? ilinibidi niwe update page kupata updates.

Nilimsikia dakika ya tano tu akacheka, nikawaambia washikaji bao hilo, poleni sana ndugu zangu.

Dr. Slaa umeahidi baada ya hii hotuba mtatoa majibu. Nafikiri ndo tunawasubiri kwa hamu pia mtoe mwongozo jinsi ya kuendelea mbele.

I am prepared to go anywhere, provided it be forward.

Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu sana.

Nilalapo nakwota wewe,
Niamkapo ni heri mamawe,

Tanzania, Tanzania
nanapo kwenda safaraini.
Kutazama Maajabu, biashara nayo Makenzi.
Sitaweza Kusahau Mimi, nambo neme yakwetu kabisa,
Tanzania, Tanzania
nakupenda kwa moyo wote
 
Uchunguzi wa makampuni 22, makampuni 9 uchunguzi wa ndani umekamilika ila wa nje bado. Police itashirikiana na Interpol kukamilisha. Kamati imeomba kibali kuendelea na uchunguzi mpaka watakapopata report ya Interpol-Ombi limekubaliwa
Makampuni 13 yaliyobaki, waliokwapua kadiri ya 90b, yamebanwa, wamenyang’anywa passport, mali na hata magari yamekamatwa. Mapaka 18 August 53.7b zimeshakusanywa na zimerejeshwa. Waliobaki wameahidi kulipa mpaka mwishoni mwa October 08, 74% ya pesa itakuwa imesharudishwa.

Raisi ameagiza wasiolipa mpaka hiyo October 08, wapelekwe mahakamani!!!!!!!!!

kwa maneno mengine, hao watu wanaweza kukopa bank kwa kutumia hizo mali zao walipe deni la epa , na waendele kudunda mjini, maana tumeona hizo fedha zilipita kwenye mabenki yetu, na kuna watu kwenye bank zetu walifaidika nazo
 
Nabii mtukufu jk usiwasikilize hawa , hawa hawa ndio walikupa unabii na kukupa cheo cha umungu mtu , leo wanakutosa ina maan ahawakuangalia alama za nyakati hawakujua wakati huo tanzania ilihitaji mtu makini zaidi yako ?

sasa naamini wewe mpotoshaji kabisa.Rudi kwenye thread yako uliyo anzisha ya mama Anna Kilango umezusha kule umekimbia kujibu maswali rudi kajibu.
 
Amemaliza sasa ni wakati wa kurate hiyo hutuba.

Swala la
  1. Zanzibar.................................. A
  2. Swala la Shilingi ...................... F
  3. Swala la kipato cha mtanzania ..... C
  4. Swala la wafanyakazi ................ B
  5. Swala la Michezo ....................... A+
  6. Swala la EPA ......................... F
  7. Swala la Rushwa ....................... F
  8. Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma C

Pleaseeeeeeeeeeeee....
[*]Zanzibar.................................. A
[*]Swala la Shilingi ...................... F
[*]Swala la kipato cha mtanzania ..... E
[*]Swala la wafanyakazi ................ E

[*]Swala la Michezo ....................... B
[*]Swala la EPA ......................... F
[*]Swala la Rushwa ....................... F
[*]Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma F
 
Na nionavyo mwaka 2010 atashinda tena ingawa si kwa kura nyingi kama alivyo pata 1995. kweli JK nimsaani na nimeani huyu ndiyo mwanasiasa....hivi wale watu wa EPA wakirudisha pesa hawatashitakiwa!? mbona mimi si jamuelewa....
 
Back
Top Bottom