Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchunguzi wa makampuni 22, makampuni 9 uchunguzi wa ndani umekamilika ila wa nje bado. Police itashirikiana na Interpol kukamilisha. Kamati imeomba kibali kuendelea na uchunguzi mpaka watakapopata report ya Interpol-Ombi limekubaliwa
Makampuni 13 yaliyobaki, waliokwapua kadiri ya 90b, yamebanwa, wamenyanganywa passport, mali na hata magari yamekamatwa. Mapaka 18 August 53.7b zimeshakusanywa na zimerejeshwa. Waliobaki wameahidi kulipa mpaka mwishoni mwa October 08, 74% ya pesa itakuwa imesharudishwa.
Raisi ameagiza wasiolipa mpaka hiyo October 08, wapelekwe mahakamani!!!!!!!!!
Nabii mtukufu jk usiwasikilize hawa , hawa hawa ndio walikupa unabii na kukupa cheo cha umungu mtu , leo wanakutosa ina maan ahawakuangalia alama za nyakati hawakujua wakati huo tanzania ilihitaji mtu makini zaidi yako ?
Tuifunge JF au
Amemaliza sasa ni wakati wa kurate hiyo hutuba.
Swala la
- Zanzibar.................................. A
- Swala la Shilingi ...................... F
- Swala la kipato cha mtanzania ..... C
- Swala la wafanyakazi ................ B
- Swala la Michezo ....................... A+
- Swala la EPA ......................... F
- Swala la Rushwa ....................... F
- Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma C