Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
hii serikali yake imezidi mmno usanii 2010 tummpe big NO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakijiji,
Nani kakwambia alikuwa anasoma Hotuba? Kwa ninavyofikiria ni kuwa JK aliandaa notice mwenyewe ambazo alikuwa anazisoma via Teleprompter na zilikuwa kwenye mtiririko anaoutaka yeye na sasa jamaa wapo wanahangaika kusikiliza Audio na kuandika kazi ambayo ni ngumu kwa wengi!
Got me?
Au baada ya hotuba walipita hapa JF kuona reaction za akina Mwkjj na wameona hotuba imepondwa sana na sasa wanasita kuianika yote hadharani mpaka hali itulie.
Mwanakijiji,
Nani kakwambia alikuwa anasoma Hotuba? Kwa ninavyofikiria ni kuwa JK aliandaa notice mwenyewe ambazo alikuwa anazisoma via Teleprompter na zilikuwa kwenye mtiririko anaoutaka yeye na sasa jamaa wapo wanahangaika kusikiliza Audio na kuandika kazi ambayo ni ngumu kwa wengi!
Got me?
Kuna kigugumizi cha aina fulani Ikulu kutoa hotuba ya Rais jinsi ilivyotolewa jana katika soft copy ili vyombo vya habari na wananchi waweza kuisoma taratibu na kuichambua. Ka "Nzi" kanasema kuwa hilo ni makusudi ili kwa muda kuzuia uchambuzi mkali wa hotuba hiyo na hivyo wanasubiri mambo yapoe kwanza.....
Kwanini vyombo vya habari visipewe hotuba ya Rais kama ilivyo sehemu nyingine? Huwa ninapata hotuba za Balozi wa Uingereza au wa Marekani hapo Tanzania kabla hawajazisoma kwenye matukio mbalimbali na huwa wanaweka "as prepared"...
Salva anafanya nini Ikulu? Mbona huwa anaharakisha kuitisha waandishi kujibu hoja mbalimbali lakini kubonyeza "Attach" and hit "send" a file ya Doc au PDF ya hotuba ya Rais inakuwa mbinde? Tatizo la Ikulu na mawasiliano yao na wananchi ni nini? GRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
LoL,Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza
kama kuna cha kufanyika ni kureflect jambo lolote alilolisema hewani ambalo halikuwa originally kwenye maandishi.
LoL,
Salva hapokei simu yangu mkuu!
one can do nothing but laugh.
JF kwa utaratibu wa kawaida, Hotuba hiyo itapatikana muda si mrefu kupitia "Hansard" ya Bunge. Iwapo kweli inafanya mchezo huo, basi ni mchezo mchafu. Hata hivyo, ni kielelezo dhahiri, kama wanakataa kutoa hotuba, je wataweka hadharani hiyo Taarifa ya kina Mwanyika! Inasikitisha sana.THis is pure comical!I guess either hotuba rais aliyosoma siyo yenyewe ameibadilisha tuu pale alipokuwa anaisoma ama wao kama Ikulu na huyu hoodwink we have for a President mwenyewe anajua whatever he presented to the people was pure gibberish!
JK alichosoma ama kupresent kwa wananchi kilikuwa a waste of time therefore he is shit scared with the denigration.
Jana was the only time for him to attest to the people that they made the right choice but he botched and now he knows that his days are numbered maana kila kitu kina mwanzo na mwisho!
Salva anasema kuwa kuna maneno ambayo Muungwana aliongeza mambo mengi ambayo hayakuwamo katika hotuba, anasema sasa hivi ndio wanaishughulikia kuongeza hayo mengine ya nyongeza