Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
340
Reaction score
497
Tanzania yaingia nchi 51 zenye amani zaidi duniani ikiwazidi USA, China, UK Argentina n.k.

Kwa Afrika tupo katika 10 bora huku tukiongoza eneo la EAC

Shukrani kwa uongozi unaoenzi amani wa Rais Magufuli na wote tuliotimiza wajibu wetu

Source: Global Peace Index

IMG_20190331_182630.jpeg
IMG_20190331_182854.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi muwache kuwachinja watoto kwa ushirikina, na pia albino maana Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo albino hawana amani, wanawindwa eti nyama yao na viungo vitawaongezea Watanzania utajiri, matukio kama hayo ndio yanasababisha mnazidi kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa duniani....yaani LDC countries.
Mkiendelea hivyo itawabidi albino wajipake mkaa ili mfanane wawe na amani.
Kingine kuna hawa omba omba wenu hapa Nairobi ni too much, waambieni huko kuna amani waje watulie

Fungulia Uzi bro. Tutakuja kuchangia.
 
Soma comment #4.I will keep reminding you that if Kenya is a failed state Tanzania is a dead state. Goodnight jirani.
Mtu kukwambia nyie ni failed state ni maneno ya upinzani tuu toka kwa sisi watani wenu tz,, ila tatzo nyie wakenya hamna utamaduni wa utani BT kiukweli tunawakubali ila jitahidini kupunguza rushwa na ufisadi maana si tz tulishindwa kusonga mbele kwa sababu ya rushwa na ufisadi,,
Ila tunamshukuru magu kalifanyia kazi na sasa hata tukienda maofisini hutaona mtu anakutaka utoe rushwa..
So Jane Ndugu jitahidi kuelewa kitu kimoja we love u kenyans' but jitahidin kuwa serious na mambo ya rushwa maana hilo ndio linawalet down wakenya please jane

Ahaaa haaa haaa
Umesahau ukabila.
 
Tanzania yaingia nchi 51 zenye amani zaidi duniani ikiwazidi USA, China, UK Argentina n.k.

Kwa Afrika tupo katika 10 bora huku tukiongoza eneo la EAC

Shukrani kwa uongozi unaoenzi amani wa Rais Magufuli na wote tuliotimiza wajibu wetu

Source: Global Peace Index

View attachment 1059359View attachment 1059360

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi lini tutaifikia Botswana? I love that country.
It's good that SADC inaongoza Afrika kwa kuwa na NCHI nyingi. But EAC hamna NCHI zaidi ya Tanzania kwenye 80+ country.
 
Tukiwaambia kwamba Tanzania ni nchi ya mwa Africa zaidi kuliko East Africa majirani zetu wanakasirika na kununa eti tunataka kuwaacha peke yao. Tanzania inafanana Sana na inaendana Sana na nchi za kusini mwa Africa kwasababu viongozi wote wa nchi hizo walilelewa Tanzania chini ya malezi ya Nyerere, wamezingatia umoja, upendo na Amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi muwache kuwachinja watoto kwa ushirikina, na pia albino maana Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo albino hawana amani, wanawindwa eti nyama yao na viungo vitawaongezea Watanzania utajiri, matukio kama hayo ndio yanasababisha mnazidi kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa duniani....yaani LDC countries.
Mkiendelea hivyo itawabidi albino wajipake mkaa ili mfanane wawe na amani.
Kingine kuna hawa omba omba wenu hapa Nairobi ni too much, waambieni huko kuna amani waje watulie

Mbona nyie mnakuja kuiba huku kwetu
 
Back
Top Bottom