Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani


Sijaelewa kisa cha kuniita huku ilhali humu nimetoa maoni yangu sana, amani yenu inafaa iwafikie albino mnaowachinja na kuwatafuna kisa mnasaka utajiri, pia watoto wanaochinjwa kwenu haswa mkoa wa Jombe hawaijui hiyo amani, inafaa iwafikie pia.
Kikubwa ni kwamba media zenu huwa zimeganda hawaaniki maovu ya kwenu kiasi kwamba ulimwengu unakua hauwajui mlivyo.
Noah nyeupe zinazunguka zikiwababaisha watu huku zikiwafukuzia wabunge akina Lissu kwa marisasi, mifano ipo mingi sana ambayo haianikwi na media zenu.
Pia omba omba wenu wamejaa Kenya baada ya kuitoroka hiyo 'amani' yenu, check hii video

 
Hahahaaaaa... haya bwana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaaa haaa haaa
Povuu
Hizi takwimu ni relative term, siyo paradiso (absolute) term. Matatizo lazima yatakuwepo. Lkn KUNA unafuu kuliko ile KDF ya Turkana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…