GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa... haya bwana!Sijaelewa kisa cha kuniita huku ilhali humu nimetoa maoni yangu sana, amani yenu inafaa iwafikie albino mnaowachinja na kuwatafuna kisa mnasaka utajiri, pia watoto wanaochinjwa kwenu haswa mkoa wa Jombe hawaijui hiyo amani, inafaa iwafikie pia.
Kikubwa ni kwamba media zenu huwa zimeganda hawaaniki maovu ya kwenu kiasi kwamba ulimwengu unakua hauwajui mlivyo.
Noah nyeupe zinazunguka zikiwababaisha watu huku zikiwafukuzia wabunge akina Lissu kwa marisasi, mifano ipo mingi sana ambayo haianikwi na media zenu.
Pia omba omba wenu wamejaa Kenya baada ya kuitoroka hiyo 'amani' yenu, check hii video
Sijaelewa kisa cha kuniita huku ilhali humu nimetoa maoni yangu sana, amani yenu inafaa iwafikie albino mnaowachinja na kuwatafuna kisa mnasaka utajiri, pia watoto wanaochinjwa kwenu haswa mkoa wa Jombe hawaijui hiyo amani, inafaa iwafikie pia.