Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

Hongereni majirani, wenzenu sisi huku tuna jirani mwenye nuksi ambaye watu wake huwa wanawaza tu kutuvurugia amani kila uchao. Ila kwa maoni yangu mnachofanya mkimsifia mzee kwa kuwaletea amani ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Aiseee mtakuwa mna roho ngumu kupindukia kama mmemsahau yule mzee mwingine mchangamfu, mpenda watu, aliyekuwa anajua kudensi zaidi ya Papa Wemba na ambaye alikuwa anasmile 24/7! Maanake tunavovurugana na nyinyi huku mipakani sisi tayari tumeanza kumuwaza na kumkumbuka. Tulivokuwa tunawajua zamani alipokuwa rais wenu sio hivyo tena, mmebadilika sana majirani. Siku hizi mnatia moto vifaranga viumbe maskini vya mungu, mnatekana, mnapotezana, mnapigana risasi, mnatishana kwa kauli za ajabu kama mtalimia meno, kunaniii? Sasa hivi kwa amani majirani mngestahili kuwa kwenye top 20 duniani!
 
Nyuzi za nyie kuchinja watoto na kuwala albino mbona tumefungua nyingi, kuna uzi kwa kila tukio.

Ahaaa haaa haaa
Usichanganye madawa bro, huku ni amani tu, tumekuwa wa 51 duniani. We dwarfed all nations which are claiming to be happier than us.
Those albino issues are just an isolated incidents, you can't compare with your alshabab or hunger issues.
 
Nawakumbushia tu amani iwafikie hadi watoto mnaochinja na albino wanaowindwa usiku na mchana.
 
Ok sawa.
Ni vizuri kutukumbusha.
Ili tule nao sahani moja.

Lkn nanyi mjue ya kuwa alshabab inawalia timing tu.
Msibweteke wamepozi tu kidogo.

Juzi hapa mumechinja watoto Njombe ikawaje uite ya kale, tatizo media zenu ovyo huwa hazianiki maovu yenu.
 
Now kdf wapo makini kiasi fran so sidhani kama mwaka huu al shabab watafanya tena upuuzi wao
Ok sawa.
Ni vizuri kutukumbusha.
Ili tule nao sahani moja.

Lkn nanyi mjue ya kuwa alshabab inawalia timing tu.
Msibweteke wamepozi tu kidogo.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Basi muwache kuwachinja watoto kwa ushirikina, na pia albino maana Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo albino hawana amani, wanawindwa eti nyama yao na viungo vitawaongezea Watanzania utajiri, matukio kama hayo ndio yanasababisha mnazidi kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa duniani....yaani LDC countries.
Mkiendelea hivyo itawabidi albino wajipake mkaa ili mfanane wawe na amani.
Kingine kuna hawa omba omba wenu hapa Nairobi ni too much, waambieni huko kuna amani waje watulie

Lamba lolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni majirani, wenzenu sisi huku tuna jirani mwenye nuksi ambaye watu wake huwa wanawaza tu kutuvurugia amani kila uchao. Ila kwa maoni yangu mnachofanya mkimsifia mzee kwa kuwaletea amani ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Aiseee mtakuwa mna roho ngumu kupindukia kama mmemsahau yule mzee mwingine mchangamfu, mpenda watu, aliyekuwa anajua kudensi zaidi ya Papa Wemba na ambaye alikuwa anasmile 24/7! Maanake tunavovurugana na nyinyi huku mipakani sisi tayari tumeanza kumuwaza na kumkumbuka. Tulivokuwa tunawajua zamani alipokuwa rais wenu sio hivyo tena, mmebadilika sana majirani. Siku hizi mnatia moto vifaranga viumbe maskini vya mungu, mnatekana, mnapotezana, mnapigana risasi, mnatishana kwa kauli za ajabu kama mtalimia meno, kunaniii? Sasa hivi kwa amani majirani mngestahili kuwa kwenye top 20 duniani!
Mlimzoea anaewachekea chekea ilhali mkifanya kila aina ya ujinga nchini kwake kama kuvuna mkaa, kuchungia wanyama, kuiba, kuingia tu pasipo vibali, kuingiza tu bidhaa zenu huku mkizuia za kwetu. Anawachekea tu, basi mkaona Tz ndio shamba la bibi. Na ndio aliechagua hili jiwe, na akasema huyu ajae sio mpole kama mimi.
He knew his weakness of upole costed the country bigtime. Kwa iyo kama nilivyokwambia last time, peleka maoni yako chooni, ww sio mtz. Mzee atasifiwa tu, kama inakuuma kalambe lolo. Anadeserve sifa nyingi sana. Na atasifiwa hadi 2025, sasa kama utakuwa unakereka akisifiwa, utapata tabu sana, lkn kuna wanaopenda kumpondea, wapo pia humu humu, utaweza kusoma contents zao zikakufurahisha.
But de guy anakubalika na majority of us and you cant do nuthn.

Hapo kwenye wino mzito. Tehe teh teh tihiii
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ahaaa haaa haaa
Na nashangaa SANA.
How a happiest nation in EAC is not featuring in best 50 even 80 in the list of peaceful country?
 
Mlimzoea anaewachekea chekea ilhali mkifanya kila aina ya ujinga nchini kwake kama kuvuna mkaa, kuchungia wanyama, kuiba, kuingia tu pasipo vibali, kuingiza tu bidhaa zenu huku mkizuia za kwetu. Anawachekea tu, basi mkaona Tz ndio shamba la bibi. Na ndio aliechagua hili jiwe, na akasema huyu ajae sio mpole kama mimi.
He knew his weakness of upole costed the country bigtime. Kwa iyo kama nilivyokwambia last time, peleka maoni yako chooni, ww sio mtz. Mzee atasifiwa tu, kama inakuuma kalambe lolo. Anadeserve sifa nyingi sana. Na atasifiwa hadi 2025, sasa kama utakuwa unakereka akisifiwa, utapata tabu sana, lkn kuna wanaopenda kumpondea, wapo pia humu humu, utaweza kusoma contents zao zikakufurahisha.
But de guy anakubalika na majority of us and you cant do nuthn.

Sent using Jamii Forums mobile app
From the first time kabisa kabla saga la vifaranga wakenya walianza kumchukia Magufuli sana hasa wanasiasa na wafanyabiashara, wakenya waligeuza Tanzania shamba la bibi, walikuwa na tractor zaidi ya 80 kule Longido kwenye hifadhi ya taifa, walikuwa wanatorosha tanzanite yetu (kuna mpaka mkenya alighushi documents ili aonekane mtanzania kisha achimbe tanzanite, lakini kinachomkuta yeye na familia yake saivi anakijua mwenyewe}

Ikumbukwe sheria ya madini ya Vito inamtaka mtanzania tu ndio afanye shughuli za uchimbaji ya madini hayo na sio mgeni.

Ukiachia mbali kuzuia bidhaa za Tanzania zisiingie Kenya na kuiblackmail Tanzania mpaka kwenye mambo yake ya ndani kwa manufaa ya wananchi wake ikiwemo kuendesha campaign kwenye International organisations kupinga Tanzania kujenga barabara ya lami kule serengeti, kuiblackmail Tanzania kuuza shehena yake ya vipusa CITES na mengine mengi

Sasa wanavyomuona JPM kasi yake lazima wamchukie na kiukweli inashangaza chuki ya wakenya hawa kwa mtu asiewahusu kabisa inatoka wapi, kuna governor wao wa kajiado alimtukana JPM matusi ya waziwazi YouTube, hapo ndio nilijua namna gani JPM ni mwiba Kenya.
 
Hapo kwenye wino mzito. Tehe teh teh tihiii
Mlimzoea anaewachekea chekea ilhali mkifanya kila aina ya ujinga nchini kwake kama kuvuna mkaa, kuchungia wanyama, kuiba, kuingia tu pasipo vibali, kuingiza tu bidhaa zenu huku mkizuia za kwetu. Na ndio aliechagua hili jiwe, na akasema huyu ajae sio mpole kama mimi. Kwa iyo kama nilivyokwambia peleka maoni yako chooni.
But de guy anakubalika na majority of us and you cant do nuthn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sasa mnapandwa na hasira kwanini wakati nimewapa hongera kwa amani yenu kama jirani? Au ni kwasababu nimesema hiyo amani haijaletwa na huyo dikteta wenu Jiwe? 😀 Kwani ni uongo kwamba matukio kama kupigwa risasi kwa wapinzani, kupotezana, kutekana nyara na wale jamaa wasiojulikana ni habari zisizo za kawaida Tz? Au hayo pia yapo kwenye orodha ya amani ambayo Jiwe amewaletea?
 
Tanzania More Peaceful Nation than France, US and UK

By Staff Writer, New York 31-3-2019

TANZANIA remains East Africa’s most peaceful and calm nation than most of the developed world like France, the United States of America (USA) and the United Kingdom (UK), the report reveals.
The Global Peace Index (GPI) 2018 report released this weekend by the Institute for Economic and Peace (IEP), shows Tanzania improved by ranking 51, gaining three positions from 54 in 2017.

Four living Presidents of Tanzania

The most powerful nation on earth, USA is ranked 121st while the UK ranked 57, six positions behind Tanzania. The UK dropped 16 positions compared to its 2017 rank. The study covers 163 independent nations and territories around the world.
This is good news for most Tanzanians and Africa about the reality of their narrative compared to the Africa of the Western media. Tanzania is one of the top five countries in Africa whose economies is the fastest on the continent. The nation is a beacon of peace and harmony in east and southern Africa.
Tanzania also tops the East African Community member states ranking 9th in African Continent. Other East African countries with their rankings in brackets include Rwanda (103), Uganda (107) Kenya (123) Burundi (134) and South Sudan (161).
This report reveals the truth on the status of nations as most Africa nations were labeled as notorious in killings and abductions as those in the West. The study uses various indicators to determine which nations are the most dangerous, as well as which are the most peaceful.

Why Not US and UK?
The UK dropped 16 positions to what it was ranked in 2017 and the USA dropped 7 rankings on the same year. The two giant economies, despite seemingly positive coverage by its global media, are understood to have high criminal records creating poor conditions for internal peace.

According to the FBI, in 2018 there were 424,066 entries at the US National Crime Information Centre (NCIC) for missing children. In 2017, the total number of missing children entries into NCIC was 464,324 including abduction and non abduction cases.
During the last 34 years, NCMEC’s national toll-free hotline, 1-800-THE-LOST® (1-800-843-5678), has received more than 4.8 million calls.
In 1999, 800,000 there were reported missing of which 203,900 reported as victims of family abductions and 58,200 of non-family abductions.

GunPolicy.org estimates that in 2010 there were 3.78 guns per 100 people in the UK. In the US the situation was worse. There were 101 guns per 100 people. In the UK, the results has been roughly 50 to 60 gun deaths a year in England and Wales, which have a population of 56 million.

According to the report released in 2011 by the UK’s National Policing Improvement Agency (NPIA), about 250,000 people go missing every year. Compared to the two nations, cases of abductions in Tanzania are isolated but fewer, not even quarter of those in the US and UK.

However, those few and isolated cases of abductions in Tanzania and in the rest of Africa, are promoted, overstated and blown out of proportions by the Western media to portray what is purported as gross human rights violations.

The abductions and killings in the United States and United Kingdom, making them less peaceful than Tanzania and some other African countries are placed behind the fewer cases occurring in Africa. The 51st ranking for Tanzania presents an increase on its stability under President John Pombe Magufuli. In 2015 when he came into power, Tanzania was ranked 64th.
The IEP report qualifies Tanzania in the top 10 most peaceful nations in Africa, occupying the ninth (9th) slot ahead of Senegal which is 10th , ranking 53rd in a the list. The report mentions the top five most peaceful nations in the world include Iceland, New Zealand, Austria, Portugal and Denmark.

South Sudan, Libya, Somalia and Central African Republic (CAR) ranked as the least peaceful nations on earth. The GPI covers 99.7% of the world’s population, using 23 qualitative and quantitative indicators from highly respected sources, and measures the state of peace using three thematic domains.

The domains are: the level of Societal Safety and Security; the extent of Ongoing Domestic and International Conflict; and the degree of Militarization.

The Global Peace Index 2018 report finds that the global level of peace has deteriorated by 0.27% over the last year. This is the fourth successive year of deterioration, finding that 92 countries have deteriorated, while 71 countries have improved. Nations considered more peaceful have lower index scores.

IEP is an independent, non-partisan dedicated to shifting the world's focus to peace as a positive, achievable and tangible measure of human well-being and progress.

Yeah . . . That doesn't surprise me at all.. Even in a school setting, fools will normally get an award for the disciplined or the groomed student of the year. ..... The bad boys will walk away with all the girls. Tafakari
 
Basi muwache kuwachinja watoto kwa ushirikina, na pia albino maana Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo albino hawana amani, wanawindwa eti nyama yao na viungo vitawaongezea Watanzania utajiri, matukio kama hayo ndio yanasababisha mnazidi kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa duniani....yaani LDC countries.
Mkiendelea hivyo itawabidi albino wajipake mkaa ili mfanane wawe na amani.
Kingine kuna hawa omba omba wenu hapa Nairobi ni too much, waambieni huko kuna amani waje watulie

Kuna watu mnateseka?na kwa nn mteseke? Mmetushinda vingi kwa rekodi ata ya amani mnataka ije kwenu.Aya waambieni wazungu Tanzania ipo kenya mana kiswahili mnasema chenu, Kilimanjaro yenu.
Selfish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom