Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani

Basi muwache kuwachinja watoto kwa ushirikina, na pia albino maana Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo albino hawana amani, wanawindwa eti nyama yao na viungo vitawaongezea Watanzania utajiri, matukio kama hayo ndio yanasababisha mnazidi kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa duniani....yaani LDC countries.
Mkiendelea hivyo itawabidi albino wajipake mkaa ili mfanane wawe na amani.
Kingine kuna hawa omba omba wenu hapa Nairobi ni too much, waambieni huko kuna amani waje watulie

Wivu na Husda umekujaa dhidi ya Tanzania. Pole sana.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kuna watu mnateseka?na kwa nn mteseke? Mmetushinda vingi kwa rekodi ata ya amani mnataka ije kwenu.Aya waambieni wazungu Tanzania ipo kenya mana kiswahili mnasema chenu, Kilimanjaro yenu.
Selfish.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lini Kiswahili kikawa chenu, ni lugha mlidandia tu, chimbuko lake maeneo ya Pwani baada ya Waarabu kuja kubaka watu kule.
 
Katafute nini tafsiri ya 'mother tongue', Msukuma umetokea Mwanza ukiongea Kisukuma halafu leo hii unawaambia watu Kiswahili ndio lugha yako ya asili.
Kwani watanzania wote ni wasukuma!!? Wengine tumezaliwa uswahilini palipozaliwa Kiswahili. Hivyo, Kiswahili ni lugha yetu mama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini Kiswahili kikawa chenu, ni lugha mlidandia tu, chimbuko lake maeneo ya Pwani baada ya Waarabu kuja kubaka watu kule.

Kiswahili kilikuwepo hata kabla ya muarabu. Mreno ambaye alifika hapa chini ya baharia maarufu Vasco da Gama na mfanyabiashara mkubwa Bartholomew Diaz kabla ya waarabu walikikuta akaongezea maneno yake kama leso, meza na korosho.
 
Katiba mpya haijasaidia kuwaletea amani?, mbona kila kitu kinaparaganyika?, njaa mnasingizia jangwa na ukame, sasa amani nayotasingizia nini?

Kiswahili kimetusaidia sana kutuunganisha na kutufanya tujihisi watanzania wote ni ndugu, kimetusaidia kumaliza ukabila, ujamaa umetusaidi kupunguza matabaka katika jamii, kupunguza pengo kati ya tajiri na masikini.

Tunawaomba majirani zetu, tumieni ujirani wetu mjifunze yaliyo mema toka Tanzania, haitoshi kujifinza mambo ya ndege, BRT, Nyimba kumi na mengineyo na mkusahau umoja na amani ambavyo ndio msingi wa yote hayo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani watanzania wote ni wasukuma!!? Wengine tumezaliwa uswahilini palipozaliwa Kiswahili. Hivyo, Kiswahili ni lugha yetu mama!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimetolea tu mfano wa Wasukuma, makabila yapo mengi na kila kabila lina lugha yake ya asili, kuna kila sababu za Mungu kuumba kila mtu na asili yake, Kiswahili tunakitumia kama lugha ya kutuunganisha, lakini kila mmoja wetu ana asili yake. Kuzaliwa Uswahilini haimaniishi ndio sababu tosha za kutelekeza asili yako, utakua tu kama Mwamerika mweusi aliyepelekwa uzunguni kama mtumwa, watoto wake wakazaliwa huko bila asili wanaishi kama watumwa.

Halafu kabla ujio wa Mzungu, hakukua na kitu kama Tanzania, hiyo ilitokana baada ya Mzungu kuchora chora mipaka na kuwaambia watu waanze kuonana kwa misngi ya hiyo mipaka.
 
Wazazi wengi hawaongei lugha za kikabila isipokuwa Kiswahili. Kwahivyo, watoto wanajikuta wanazungumza Kiswahili kama lugha mama yao.

Hii inatokana na miingiliano ya makabila katika ndoa ambapo msukuma anaoa mkurya, au mnyaturu anaoa mchagga!! Familia inalazimika kuchagua Kiswahili kama nyenzo ya mawasiliano.

Huko kwenyu Kenya kwenye ubaguzi wa makabila mnaoana wakikuyu kwa wakikuyu ndio maana inakuwa rahisi kuzitunza na kuziendeleza lugha mama kwa vizazi vyenu/ vyenyu.

Watanzania wengi Kiswahili ni lugha mama yao. Makabila yameshakufa. [yanaendelea kufa]
 
Kwani nyie ndio wa kwanza kuoana baina ya makabila au matabaka, dunia hii watu wameoana baina ya matabaka tofauti lakini asili zinatunzwa kizazi baada ya kizazi, tatizo mliaminishwa vitu vya kijnga eti kuongea lugha yako ya asili ni ushamba. Kuwalea watoto mjini wanaishi kisharobaro hawajui hata salamu kwa lugha zao za asili ndio utumwa huo.
Ukabila ni tabia za mtu sio lugha, kuna nchi kama Somalia wanaongea lugha moja, dini moja lakini wanabaguana kishenzi full risasi na mabomu kila siku.
Unaweza ukaipenda lugha yako ya asili lakini uishi bila kuwabagua watu, maana ubaguzi ni tabia ya mtu binafsi, mwenyewe anafanya maamuzi ya kuwabagua watu.
 
Hakuna mtu anayechukia lugha yake ya asili, isipokuwa hizo lugha zinajifia zenyewe kwasababu matumizi yake yako chini ukilinganisha ni Kiswahili.

Hama hama ya watu na miingiliano ya makabila imefanya lugha za asili kufifia. Tofauti na huko kwenyu Kenya ambapo mnaabudu lugha za asili zisizo na faida yoyote zaidi ya kuwatenganisha na kuwaletea chuki isiyo na tija.

Huku kwetu Tanzania, hizo lugha za asili ni lugha za pili baada ya Kiswahili kwa watanzania wengi wa Kizazi hiki. Kizazi kinachofuata kutakuwa hakuna kabisa hizo lugha kwasababu Kiswahili kimeshika hatamu kila nyanja.

1 ya 10 ya vijana wa Kitanzania wanaweza kuzungumza lugha zao za asili kwa ufasaha. [moja kati ya kumi]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kiswahili ni cha waarabu jombaa?

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Waarabu walichangia pakubwa kwenye kukibuni, soma historia acheni kujifariji na kutafuta sababu za kutelekeza lugha zenu za asili, hata neno Swahili limetokana na neno la Kiarabu sawāḥil
Kabila la Ngozi ambalo lipo Pwani mwa Kenya ndio lugha yao iliyotumika kubuni Kiswahili baada ya ujio wa Waarabu, Kiswahili kimerithi maneno mengi ya msingi kutoka kwa Kiarabu, yaani ni kawaida kwa lugha kurithi, lakini sio hadi maneno ya kaiwaida ya msingi kwenye lugha kama ilivyofanyika kwa Kiswahili.
 
Kumbe

Narudia tena, mtu kupenda lugha yake ya asili sio chuki wala ubaguzi, hiyo ni ishara za kujitambua na kuwa na asili sio kuishi kama zombi mjini hujijui wala hujui umetokea wapi au unaelekea wapi, upo upo tu siku ziende.

Wamarekani weusi leo hii wanatumia gharama sana kujaribu kutafuta asili yao kwa kutumia vinasaba/DNA.....
 
Kiswahili ni kibantu halisi chenye sarufi na sintaksia ya kibantu isiyofanana kwa vyovyote na kiarabu.

Waarabu walichomeka chomeka tu vimaneno vyao ili kuweza kuwasiliana na waswahili na ndipo maneno hayo yakatoholewa na kuwa Kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena, mtu kupenda lugha yake ya asili sio chuki wala ubaguzi, hiyo ni ishara za kujitambua na kuwa na asili sio kuishi kama zombi mjini hujijui wala hujui umetokea wapi au unaelekea wapi, upo upo tu siku ziende.

Wamarekani weusi leo hii wanatumia gharama sana kujaribu kutafuta asili yao kwa kutumia vinasaba/DNA.....
Lugha za asili zimejifia zenyewe, hatujaziua.

Hii yote imesababishwa na Kiswahili kushika chati na hatamu katika nyanja zote za maisha ya mtanzania.

Ninyi huko Kenya mna makabila machache tu lakini yanawatoa damu. Sipati picha mngekuwa na rundo la makabila kama ya Tanzania ; nadhani mngeparuana kama mapaka shume.

Kiswahili kimetustaarabisha na kutuunganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana kuna amani kwa sababu huwezi ona watu wanachezea vifaa hatari kama hivi.

CC: https://www.jamiiforums.com/members/zilla-the-g.266148/
 
Aha ha he he heee
 
Attachments

  • Uhuru_and_Ruto_Fight_for_Corruption.mp4
    2.1 MB
Kwa majirani,
KDF ya Turkana ikiwa katika kupiga jalamba.
 
Attachments

  • Untamed_Armaments_in_Kenya.mp4
    11.8 MB
Inakuwa nchi ya 51 huku hakuna vita na wewe unasifia?Acha undungai basi!
 
Back
Top Bottom