Tanzania nchi ya ajabu Sana, mtu aliyeua raia wake bado anathubutu kutoa salami za Mwaka Mpya 2026

D

DeletedMember281674

Guest
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.

Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya.

Kweli tunahitaji msaada kutoka katika hili swala, wananchi ifike mahala muweze kujitambua hampaswi kuongozwa na muuaji aliyepora uhai wa Ndugu zenu itafikia mahala hii nchi utakuja kuongozwa na kichaa na ataamua kuua Wananchi wote na mtabaki mnamuangalia tu kama mandondocha huku akiwaibia RASIMALI zenu.
 
Mimba za chuki nazifanyia abortion-joh makini
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 23
Nilikuwa na amani sana kipindi hichi alichokaa kimya muda mrefu. Leo kaanza kutoa hotuba zake nashangaa tu nimenyong'onyea ghafla. Dah
 
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.

Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya.

Kweli tunahitaji msaada kutoka katika hili swala, wananchi ifike mahala muweze kujitambua hampaswi kuongozwa na muuaji aliyepora uhai wa Ndugu zenu itafikia mahala hii nchi utakuja kuongozwa na kichaa na ataamua kuua Wananchi wote na mtabaki mnamuangalia tu kama mandondocha huku akiwaibia RASIMALI zenu.
Wewe sio raia wake mbona hajakuua?

Fanyeni Fujo tena Sasa hivi hamtaguswa mtaachwa tu mmalizie kuchoma vituo na mabasi ya mwendo Kasi vilivyobakia

Mtaachwa tu mchome Petro station za watu zilizobakia

Mtaachwa tu mchome mabasi ya Ester yaliyobakia

Mtaachwa tu mchome na kuiba maduka ya wananchi
 
Kaka acha propaganda.

Kuna watu walifuatwa majumbani mwao wakiwa hai wakauwawa na Jeshi la Polisi na Miili yao ikazikwa katika makaburi ya halaiki, na hawakushiriki katika maandamano.

Duniani, Jeshi la Polisi limesomea namna ya kumkamata mualifu kwa kumpiga risasi ya mguuni au pajani, na kuweza kumkamata na kumfikisha katika vyombo vya mahakama akauhukumiwe kwa makosa stahiki waliyoyatenda. Hawakufanya hivyo, ndiyo maana kesi imefunguliwa ICC hii ni kuonesha Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu hususani Haki ya kuishi.

Ni wapi katika GPO imeelezea mtu anayetaka kupindua serikali au anayechoma petrol station basi anastahili kupigwa risasi ya kichwani afe???

Ni vyema Serikali ikakiri imekosea na wale wahanga wakapewa fidia na watu wakapewa Miili ya Ndugu zao wakaenda kuzika kwa heshima.
 
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.

Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya.

Kweli tunahitaji msaada kutoka katika hili swala, wananchi ifike mahala muweze kujitambua hampaswi kuongozwa na muuaji aliyepora uhai wa Ndugu zenu itafikia mahala hii nchi utakuja kuongozwa na kichaa na ataamua kuua Wananchi wote na mtabaki mnamuangalia tu kama mandondocha huku akiwaibia RASIMALI zenu.
MamaSamia2025 ni laana duniani. AMeinajisi dunia nzim kwa maovu yake
 
Dah jamaa una heshima sana
 
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.

Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya.

Kweli tunahitaji msaada kutoka katika hili swala, wananchi ifike mahala muweze kujitambua hampaswi kuongozwa na muuaji aliyepora uhai wa Ndugu zenu itafikia mahala hii nchi utakuja kuongozwa na kichaa na ataamua kuua Wananchi wote na mtabaki mnamuangalia tu kama mandondocha huku akiwaibia RASIMALI zenu.
SAMIA NI MUUAJI
SAMIA NI MHAINI
SAMIA SIYO RAIS
 
Back
Top Bottom