Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Ji
Moto wa Petro station ni zaidi ya bomu
Katika Petro station Kuna Lita kadhaa za Petrol na mafuta ya Taa pia Kuna mitungi ya Gasi ukienda kuchoma moto hapo wewe ni muuaji na wewe unastahili uliwe
Mtu anayechoma moto Petro station ni muuajiKaka acha propaganda.
Kuna watu walifuatwa majumbani mwao wakiwa hai wakauwawa na Jeshi la Polisi na Miili yao ikazikwa katika makaburi ya halaiki, na hawakushiriki katika maandamano.
Duniani, Jeshi la Polisi limesomea namna ya kumkamata mualifu kwa kumpiga risasi ya mguuni au pajani, na kuweza kumkamata na kumfikisha katika vyombo vya mahakama akauhukumiwe kwa makosa stahiki waliyoyatenda. Hawakufanya hivyo, ndiyo maana kesi imefunguliwa ICC hii ni kuonesha Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu hususani Haki ya kuishi.
Ni wapi katika GPO imeelezea mtu anayetaka kupindua serikali au anayechoma petrol station basi anastahili kupigwa risasi ya kichwani afe???
Ni vyema Serikali ikakiri imekosea na wale wahanga wakapewa fidia na watu wakapewa Miili ya Ndugu zao wakaenda kuzika kwa heshima.
Moto wa Petro station ni zaidi ya bomu
Katika Petro station Kuna Lita kadhaa za Petrol na mafuta ya Taa pia Kuna mitungi ya Gasi ukienda kuchoma moto hapo wewe ni muuaji na wewe unastahili uliwe