Tanzania nchi ya ajabu Sana, mtu aliyeua raia wake bado anathubutu kutoa salami za Mwaka Mpya 2026

Ji Mtu anayechoma moto Petro station ni muuaji

Moto wa Petro station ni zaidi ya bomu

Katika Petro station Kuna Lita kadhaa za Petrol na mafuta ya Taa pia Kuna mitungi ya Gasi ukienda kuchoma moto hapo wewe ni muuaji na wewe unastahili uliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…