Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
Nchi zingine afrika mashariki zilipigania uhuru kumwaga damu ya wazalendo kunyakuwa uhuru. Kenya ilipigana vita vya mau mau. Ethiopia iliwashinda wakoloni kwa vita..somalia na uganda pia walipigania uhuru. Kenya tukipigania uhuru tanzania walikuwa wanashirikiana na mbeberu kusaliti waafrika... Sasa wamemea pembe na kujipiga kifua ilhali uwezo wao mdogo. Eti walisaidia nchi zingine kupigania uhuru. Je jiulize swali ili utasaidia aje nchi zingine kupigania uhuru kama wewe mwenyewe ukufanya ivyo? Nawaomba wabongo watulize hizi panganga wajue wako ivi sasa manake hao ni watumwa wa mzungu.