Dogo sisi nao tunasoma historia pia tofauti na nyinyi nikuwa mna edit historia isiyo mfurahisha....mnasahau baada ya amin kuwafurusha wazungu na wahindi uganda nyinyi ndio mliwapokea kkwa mikono miwili. Je unashangaa mbona wahindi walivyo wengi uko walitoka wapi?
Ndiyo maana ninakueleza hujui historia ya Africa.
Kama ungekuwa unajua historia ya Tanzania (Tanganyika & Zanzibar) Ungekaa kimya.
Kwanza nakutaka uanze kusoma historia.
Kisha nakutaka ujifunze kujua Jina la Dar es salaam lilianza kutumiaka lini?
Kisha nataka ujifunze historia ya Kilwa.
Pia nakutaka Ujifunze washirazi(Persians) & Babylonians walianza kuja Tanzania lini.
Baada ya hapo utakuja kugundua watanzania wamechanganyika na damu ya ukoo wa Ibrahimu ambaye alitoka Mesopotamia(Persia [Iran & Iraq]).
Ndipo utakapogundua chama cha ASP (Afro Shiraz Party) Chanzo chake ni nini.
Halafu wewe mtoto unajua kweli historia au unakojoa kojoa tu humu?
Historia ya wahindi unaijua wewe? Nakutaka usilete chuki zenu za kibaguzi za kenya.
Nyerere alieleza kuwa watu wote waliokuwa ndani ya Tanzania wakati Tanzania inapata uhuru hao wote ni watanzania.
Sisi hatubagui kabila, rangi wala nasaba.
Kwa kukusaidia tu. Soma hapa ahadi za mwanatanu:-