Mnadanganywa sana, nchi pekee iliyoondoa Mkoloni na kuchukuwa Uhuru wake ni USA peke yake wengine wote wachumba tu.
Maumau haikumuondoa Mkoloni Kanya na wala haikuwa sababu ya Kenya kupata Uhuru bali ilikuwa ni uprising tu ambayo kama wangetaka kubakia Kenya wangeizima mara moja na kuendelea kuishi.
Ukoloni uliisha kwa sababu muda ulikuwa umefika, kwanza haikuwa economical kwa Wazungu na walikuwa wanapata hasara kuendesha Makoloni, investment waliokuwa wanaifanya kama kujengna Miundo mbinu kma reli, barabara kujenga Miji na kuipanga kama Nairobi, kujenga Bandari kama Mombasa yote hii haikulipa tena.
Mfumo wa Dunia ulikuwa umeshabadilika baada ya Vita kuu 2 ya Dunia Uingereza, Ufaransa &Co. walikuwa bankrupt baada ya A. Hitler kuwachakaza na sasa ikawa ni Karne ya USA, na USA akasema no more colonies na ilikubaliwa UN, huo ndiyo ukweli nyingine zote porojo tu!