Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
Nyan'gau "waliopigania" uhuru hadi leo bado wanajikomba kwa wazungu kwa kujifanya wanajua Kiingereza zaidi ya watanzania. Ha ha ha, malimbukeni bado mnatawaliwa nyie. Soma historia vizuri. Tanganyika haijawahi kuwa "koloni" la mwingereza. Kuna tofauti kati ya "protectorate" na "colony".Nchi zingine afrika mashariki zilipigania uhuru kumwaga damu ya wazalendo kunyakuwa uhuru. Kenya ilipigana vita vya mau mau. Ethiopia iliwashinda wakoloni kwa vita..somalia na uganda pia walipigania uhuru. Kenya tukipigania uhuru tanzania walikuwa wanashirikiana na mbeberu kusaliti waafrika... Sasa wamemea pembe na kujipiga kifua ilhali uwezo wao mdogo. Eti walisaidia nchi zingine kupigania uhuru. Je jiulize swali ili utasaidia aje nchi zingine kupigania uhuru kama wewe mwenyewe ukufanya ivyo? Nawaomba wabongo watulize hizi panganga wajue wako ivi sasa manake hao ni watumwa wa mzungu.
Hasira ya nini povu ya kutoka mdomoni lakini historia ibadiliki. Mlipewa uhuru nyinyi wasaliti... .msituletee upumba hapa nenda kamtumikie mzungu si ata unachoma makaazi ya wamasaai kumfurahisha mzungu. Jinga.Nyan'gau "waliopigania" uhuru hadi leo bado wanajikomba kwa wazungu kwa kujifanya wanajua Kiingereza zaidi ya watanzania. Ha ha ha, malimbukeni nyie.
umewahi skia nandi resisitance na zingenezo? Tulianza kitambo dogo... Nyinyi mlianza kisha mkapewa kioo mkasalimu amri ya kuwasaliti waafrikaMajiMaji War vs MauMau....Tanzania ilianza kupigania uhuru mapema sana kabla hata Wakenya hawajafikiri kupigania Uhuru.
Ivi Uganda nao walipigana Vita kudai Uhuru wao????Nchi zingine afrika mashariki zilipigania uhuru kumwaga damu ya wazalendo kunyakuwa uhuru. Kenya ilipigana vita vya mau mau. Ethiopia iliwashinda wakoloni kwa vita..somalia na uganda pia walipigania uhuru. Kenya tukipigania uhuru tanzania walikuwa wanashirikiana na mbeberu kusaliti waafrika... Sasa wamemea pembe na kujipiga kifua ilhali uwezo wao mdogo. Eti walisaidia nchi zingine kupigania uhuru. Je jiulize swali ili utasaidia aje nchi zingine kupigania uhuru kama wewe mwenyewe ukufanya ivyo? Nawaomba wabongo watulize hizi panganga wajue wako ivi sasa manake hao ni watumwa wa mzungu.
Nakupa za uso tu wewe nyan'gau. Hakuna povu lolote hapo.Hasira ya nini povu ya kutoka mdomoni lakini historia ibadiliki. Mlipewa uhuru nyinyi wasaliti... .msituletee upumba hapa nenda kamtumikie mzungu si ata unachoma makaazi ya wamasaai kumfurahisha mzungu. Jinga.
Ndio sifa za ukweli.... Hapa kazi tu. Si sifa za kiswahili kama zenu ukoYaani wakenya wanapenda sifa
Unyangau wangu ndio ulimwondoa mkoloni hapa kwetu kenya. Hizo za uso zako ndio zilifanya ukawa msagaji wa mzungu mpaka leo Tz.Nakupa za uso tu wewe nyan'gau. Hakuna povu lolote hapo.
Mkoloni hajaondoka Kenya usidanganye watuUnyangau wangu ndio ulimwondoa mkoloni hapa kwetu kenya. Hizo za uso zako ndio zilifanya ukawa msagaji wa mzungu mpaka leo Tz.
Asante sana. Umeweka wazi... .Mlikuwa under guardianship kwa sababu you guys were house niggers.....mpaka waleo mbongo kukusaliti ni rahisi tena haraka.Kenya ilikuwa koloni la Waingereza na Tanganyika tulikuwa under British guardianship
Makubaliano yalikuwa ni mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kujitawala. Nyerere alijenga hoja UN kuwa sasa tuko tayari kujitawala na pia alifanya mazungumzo na Queen Elizabeth II Buckingham palace.Asante sana. Umeweka wazi... .Mlikuwa under guardianship kwa sababu you guys were house niggers.....mpaka waleo mbongo kukusaliti ni rahisi tena haraka.
Hayo ni mawazo yako binafsiMpende Msipende kama hamkumwaga ndamu kupata uhuru hamuezi jilinganisha na nchi zingine ambazo zilimwaga.
Na ndio maana laana yamfuata kuwachomea na kuwauwa wamasaai ili kumridhisha mzungu.Hayo ni mawazo yako binafsi
Wafa maji hao hamna kitu tena!Yaani wakenya wanapenda sifa
Ukichaa wa asubuhi umekupanda aiseeNa ndio maana laana yamfuata kuwachomea na kuwauwa wamasaai ili kumridhisha mzungu.