Tanzania nchi ya maajabu: Mjue Mtanzania wa kwanza kucheza kombe la Dunia Urusi 2018

Dele Ali wa Totenham baba yake Mnigeria mama M-UK, yeye mwenyewe alichagua uraia wa UK
 
Mb
Mbona unaleta uzushi mkuu? amekuwaje mtanzania sasa?? Umesema alizaliwa Copenhagen. Halafu piaTanzania haikubali uraia wa nchi mbili!
 
Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Wanataka kumkataa huyo eti sio Mtanzania. Afadhali umewaeleza
 
Mb

Mbona unaleta uzushi mkuu? amekuwaje mtanzania sasa?? Umesema alizaliwa Copenhagen. Halafu piaTanzania haikubali uraia wa nchi mbili!
Huyo ni Mtanzania tu hata kama amezaliwa huko Baba yake wa Tanga hilo halitafutika mpaka anakufa
 
Dele Ali wa Totenham baba yake Mnigeria mama M-UK, yeye mwenyewe alichagua uraia wa UK
Huyo ni Mnaijeria tu mpaka anaingia kaburini ...hayo mengine ya kwenye karatasi tu
 
Boy you need to learn some history...

Ushawahi kulisikia/kusoma mahali jina liitwalo Patrick Jan Mtiliga?

Hebu fanya kugoogle hilo jina then utajua kuna "Mbongo" mwenye mwingine asili ya Denmark/ Mdenmark mwenye asiki ya Bongo ameshawahi kuiwakilisha Denmark kwenye WC 2010 kule kwa Madiba...

Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa na kuishi.
 
uyo janja ni mdigo pure....kapiga sana mazoezi mkwakwani ukibisha picha na upload hapa.
 
Huyo siyo Mtanzania,vip Mtiliga amestaafu?
 
Huyo ni Mnaijeria tu mpaka anaingia kaburini ...hayo mengine ya kwenye karatasi tu
Delle Ali ana asili ya Algeria.Mbona hata David Allaba baba yake ni Myoruba wa Nigeria lakini ni raia wa Austria.
 
Anaitwa Mtiliga.Huyu hata jina ni la Kibantu siyo huyu wa kuungaunga
 
Utanzania wake uko wapi hapo
Atakuwa na uraia wa nchi mbili labda.
Kwa Denmark hiyo inawezekana
Kali Ongala baba yake mtanzania mama yake MZUNGU mwingereza. alikuwa na uraia wa Tanzania na England alishindwa kucheza timu ya taifa kwa sababu sheria haikuruhusu uraia wa nchi mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…