OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kabila gani huyu mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasport aiseeeeeeeee.... nao wameshindwa kufikiri... Mhariri sijui alilalaaaaaa.....?
Mbona unaleta uzushi mkuu? amekuwaje mtanzania sasa?? Umesema alizaliwa Copenhagen. Halafu piaTanzania haikubali uraia wa nchi mbili!View attachment 794596
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa na kuishi.
Yusuph alizaliwa Juni 15, 1994 huko Copenhagen nchini Denmark, huku baba yake akiwa ni Mtanzania mwenyeji wa Mkoa wa Tanga, anayeitwa Shihe Yurary aliyekuwa akifanya kazi kwenye meli ya mizigo, ambayo ilikuwa ikifanya shughuli zake kati ya Afrika na Denmark, na mama yake anayejulikana kwa jina la Lene ni raia wa Denmark.
Kupitia kazi zake hizo, Shihe alikutana na Lene na kuanzisha uhusiano uliomleta duniani Yusuf, na akaamua kuhamishia makazi yake jijini Copenhagen, Denmark ni raia wa Denmark.
Yusuf alianza kucheza soka akiwa mdogo, na kujiwekea rekodi mbali mbali mpaka kusajiliwa na timu ya RB Leipzig ya nchini Ujermani, ambako bado yupo mpaka sasa.
Kwenye timu yake ya Taifa ya Denmark Yusuf anacheza nafasi ya mshambuliaji, ambayo ni maalum kwa kufunga magoli, na imetajwa kushiriki kombe la dunia mwaka 2018, ambaloi linatarajia kuanza siku si nyingi nchini Urusi.
[emoji23]Dah
Rafiki yangu wa utoton !!
Wanataka kumkataa huyo eti sio Mtanzania. Afadhali umewaelezaShida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Huyo ni Mtanzania tu hata kama amezaliwa huko Baba yake wa Tanga hilo halitafutika mpaka anakufaMb
Mbona unaleta uzushi mkuu? amekuwaje mtanzania sasa?? Umesema alizaliwa Copenhagen. Halafu piaTanzania haikubali uraia wa nchi mbili!
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa na kuishi.
Labda ana uraia wa nchi mbiliHuyu sio mtanzania. Ni m-danish mwenye asili ya tanzania.
Watz kwa kutamba hatujambo.
Huyo siyo Mtanzania,vip Mtiliga amestaafu?View attachment 794596
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa na kuishi.
Yusuph alizaliwa Juni 15, 1994 huko Copenhagen nchini Denmark, huku baba yake akiwa ni Mtanzania mwenyeji wa Mkoa wa Tanga, anayeitwa Shihe Yurary aliyekuwa akifanya kazi kwenye meli ya mizigo, ambayo ilikuwa ikifanya shughuli zake kati ya Afrika na Denmark, na mama yake anayejulikana kwa jina la Lene ni raia wa Denmark.
Kupitia kazi zake hizo, Shihe alikutana na Lene na kuanzisha uhusiano uliomleta duniani Yusuf, na akaamua kuhamishia makazi yake jijini Copenhagen, Denmark ni raia wa Denmark.
Yusuf alianza kucheza soka akiwa mdogo, na kujiwekea rekodi mbali mbali mpaka kusajiliwa na timu ya RB Leipzig ya nchini Ujermani, ambako bado yupo mpaka sasa.
Kwenye timu yake ya Taifa ya Denmark Yusuf anacheza nafasi ya mshambuliaji, ambayo ni maalum kwa kufunga magoli, na imetajwa kushiriki kombe la dunia mwaka 2018, ambaloi linatarajia kuanza siku si nyingi nchini Urusi.
Kwa rais umechemka? Ni Janga kuu la wazawa.Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Delle Ali ana asili ya Algeria.Mbona hata David Allaba baba yake ni Myoruba wa Nigeria lakini ni raia wa Austria.Huyo ni Mnaijeria tu mpaka anaingia kaburini ...hayo mengine ya kwenye karatasi tu
Anaitwa Mtiliga.Huyu hata jina ni la Kibantu siyo huyu wa kuungaungaBoy you need to learn some history...
Ushawahi kulisikia/kusoma mahali jina liitwalo Patrick Jan Mtiliga?
Hebu fanya kugoogle hilo jina then utajua kuna "Mbongo" mwenye mwingine asili ya Denmark/ Mdenmark mwenye asiki ya Bongo ameshawahi kuiwakilisha Denmark kwenye WC 2010 kule kwa Madiba...
Nabishauyo janja ni mdigo pure....kapiga sana mazoezi mkwakwani ukibisha picha na upload hapa.
Atakuwa na uraia wa nchi mbili labda.Utanzania wake uko wapi hapo