Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Na yeye ana kipaji gani?Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Mambo ya serikali ya viwanda haya. Angeacha mpira uko aje apate kazi ya Jeshi kama yule kijana wa Nchi ya Mali yule spider man wa UfaransaMafanikio ya awamu ya 5
Unamuonaga wapi? Manzese au Mwananya kwenye Ndondo CupHuwa namuona mara nyingi kajichora bendera ya Tanzania kumbe baba alikuwa wa huku
Wote [both]Yupi baba yake au Yusuf mwenyewe?
Mkuu angalia hata picha zake Google basi au mfuatilie kwenye klabu yake ya Rb Leipzig siamini kama umeishiwa namna hii siku ukiambiwa ya Rashford huku patakalika kweliUnamuonaga wapi? Manzese au Mwananya kwenye Ndondo Cup
Truekama huna akili ya utambuzi si rahisi kufahamu....
yeah right....View attachment 794596
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa na kuishi.
Yusuph alizaliwa Juni 15, 1994 huko Copenhagen nchini Denmark, huku baba yake akiwa ni Mtanzania mwenyeji wa Mkoa wa Tanga, anayeitwa Shihe Yurary aliyekuwa akifanya kazi kwenye meli ya mizigo, ambayo ilikuwa ikifanya shughuli zake kati ya Afrika na Denmark, na mama yake anayejulikana kwa jina la Lene ni raia wa Denmark.
Kupitia kazi zake hizo, Shihe alikutana na Lene na kuanzisha uhusiano uliomleta duniani Yusuf, na akaamua kuhamishia makazi yake jijini Copenhagen, Denmark ni raia wa Denmark.
Yusuf alianza kucheza soka akiwa mdogo, na kujiwekea rekodi mbali mbali mpaka kusajiliwa na timu ya RB Leipzig ya nchini Ujermani, ambako bado yupo mpaka sasa.
Kwenye timu yake ya Taifa ya Denmark Yusuf anacheza nafasi ya mshambuliaji, ambayo ni maalum kwa kufunga magoli, na imetajwa kushiriki kombe la dunia mwaka 2018, ambaloi linatarajia kuanza siku si nyingi nchini Urusi.
Sijasoma Civics mimi sisi tulikuwa na soma linaitwa Siasa.......Huyo ni Mtanzania halisi udenimark wake ni kwenye taratibu za kwenye makaratasiHuyo ni m denmark aliyezaliwa na baba mwenye asili ya Tanzania [emoji1241] na sio mtanzania, mleta uzi refer Civics yako ya form 2/3 aina za citizenship.
Tuko pamoja sana.....wasiojua na wajue hilo.....Obama mwezi ujao anakwenda kijijini kwa baba yake Kogelo KenyaTanzania kwa ubishi hatujambo wew Leo hata uchukue uraia wa wa wapi lakin utabakia kuwa mtz tu na katika histry yako itabaki hvyo tu