jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Nani kakwambia Ronaldo ana asili ya Brazil ??Mac tominey anaasiri ya England anachez Scotland sane anaaasiri ya ghana anacheza German RONALDO anaasili ya Brazil anacheza ureno pogba anaasiri ya Senegal lakini anacheza France sioni cha ajabu hapo na hiyo sio mtanzania pekee wanaokipiga ulaya wapo hata wakina ditti wapo huko Norway
ifike sehemu mkuu ukue, achana na mifano ya ajabu ajabu.Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
Huyo dogo ni Mtanzania kwa asili na kamwe haitabadilika....hayo mengine na mautaratibu tu ya kwenye karatasi....huo ndo msingi wa mada yangu
naamMdanish mwenye asili ya kizigua!