Tanzania nchi ya maajabu: Mjue Mtanzania wa kwanza kucheza kombe la Dunia Urusi 2018

Tanzania nchi ya maajabu: Mjue Mtanzania wa kwanza kucheza kombe la Dunia Urusi 2018

Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.

Ana kipaji gani
 
mbona watanzania wa hivo wako wengi tu huko ulaya na wanasakata kabumbu mpka kwnye ma world cup kina msimu, si tuingize kwny historia watu ambao wameenda cheza world cup kwa kulitumikia taifa letu bhana, mtu anaitumikia denmark afu historia iandikwe tanzania, ni akili kwel hzo?
 
Hivi huyu anajua chai ya rangi, chapati na maharage ya mia tatu kweli?
 
Mac tominey anaasiri ya England anachez Scotland sane anaaasiri ya ghana anacheza German RONALDO anaasili ya Brazil anacheza ureno pogba anaasiri ya Senegal lakini anacheza France sioni cha ajabu hapo na hiyo sio mtanzania pekee wanaokipiga ulaya wapo hata wakina ditti wapo huko Norway
Nani kakwambia Ronaldo ana asili ya Brazil ??
 
Watz mil45 bado tunatafuta wakuokoteza....ni kweli sisi watu 45mil hatunauwezo wa kiwekeza na kupata hata kina naimar 10 hivi?
Tuacheni ushamba.....
 
Wacheni Kujipendekeza Kwa Raia Wa Nchi Za Watu..
Yssuf Paulsen hata Kama Babayake Anatoka Unyamwezini lakini Yeye Ni Mdenmark Kwa 100% na wala Si Mtanzania.
Karibuni Mutasema Wanyama si Mkenya Bali Ni Mtanzania.
 
Shida kubwa sis tulio nayo wenye vipaji tunawapiga sana mawe yani wewe ona hata huyu Rais wetu pamoja na kujitoa kwake kote they wish hata kesho afe sijuwi nani katuloga ila Mungu atatutetea.
ifike sehemu mkuu ukue, achana na mifano ya ajabu ajabu.

kwamba 1.5 tr. ndo kujitoa sio ama ulimaanisha amejitoa kutuangamiza
 
Kuna tofauti kati ya mtanzania na mwenye asili ya Tanzania. Dogo akija TZ lazima aombe urai wa Tanzania ili awe mtanzania.
Huyo dogo ni Mtanzania kwa asili na kamwe haitabadilika....hayo mengine na mautaratibu tu ya kwenye karatasi....huo ndo msingi wa mada yangu
 
Patrick Mtiliga 2010 ndiye alikuwa mdenish mwenye asili ya Tanzania kushiriki kombe LA dunia akitokea timu ya malaga
 
Back
Top Bottom