Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue

Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani,

Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki

Jiko la umeme,friji la vyakula na baadhi ya vitu vya muhimu ,anaonesha ni tajiri.

Suala si umiliki wa vitu tu bali ni ufahamu wa vitu vingi namna vinavyotumika,mambo mengi hatuyajui mjue.

Hivi unawezaje kumkabidhi jiko mtu asiyejua kitunguu kinakatwa vipi,au nyanya inasagwa vipi,iliki inawekwa kwenye nini

Hivi pishi likitoka bichi alaumiwe nani?
 

Attachments

  • 20250128_160752.jpg
    20250128_160752.jpg
    20.5 KB · Views: 3
 
Back
Top Bottom