Tanzania yetu ya leo, imegubikwa na watu walionogewa madaraka kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote, ninarudi, LOLOTE!, ilimradi kubaki madarakani.Moyo wangu unaniuma,
Najiona mwenye hatia,
Sina raha nalazimisha tabasamu,
Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii.
Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili,
Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe.
Pili ilikuwa ni Sera za kiongozi aliyekuwepo awamu ile ya tatu akiwa kwenye muhula wa mwisho Sera zake nilikuwa nazikubali.
Maisha yanasonga kimtindo,siyo mabaya sana,wala siyo good life kivile,ila sifanani na wengine wengi umri umesogea,nimestaafu Kwa hiyari ili kujikeep busy na biashara zangu zaidi,hii imenipa Uhuru wa kwenda popote,bila bughdha japo serikalini bado nafanya kazi kila nikihitajika.
{Ama kweli UJUZI hauzeeki}
Kwakweli najivunia kuona licha ya kuretire lakini taasisi huniita na kunipa kazi ,haswa kutoa ushauri,kuwa frontline haswa kwenye project kubwa kwani umri wangu unaruhusu na wapo waliolaani Mimi kuacha kazi mapema kabla,lakini Nina sababu zangu binafsi huku ndugu,jamaa na familia yangu wakiridhia Kwa mioyo kunjufu.
all in all Tanzania ni sehemu nzuri ya kuishi kwani Kwa miaka mingi imenipa Uhuru na uwazi huku ikinionesha upendo na mshikamano wa kweli.
Lakini leooo nasikitika kuona,,,,,,,,
1.Waumini wa Kanisa la ufufuo na uzima wakiabudu nje ya Kanisa lao,hili limeniumiza mno
2.Lakini Chama cha demokrasia na maendeleo kukivuruga kwasababu zisizoeleweka ili kukufifisha kisifikie matarajio hili limeniumiza.
3.Taasisi kibao kuingiliwa,mamlaka zao,Leo natangaza hadharani hamtoniona tena nikishangilia Yanga yangu niliyoipenda tangu utotoni sababu nazijua Mimi,kiufupi sitaki mpira wa kibongo.
4.Mimi ni mfuasi wa dini ya kikristo , Roman Catholic na tangu utotoni nilifundishwa kuheshimu taratibu na Sheria za dini na madhehebu mengine.
5.Nakiri wazi Leo hii CCM kuna namna siikubali yaani karibu 40% Imani yangu imeshuka kwenye hiki Chama.
MUNGU ibariki Tanzania,
MUNGU ibariki Africa.
OKTOBA TUNA ✔️Moyo wangu unaniuma,

Umeanza.JPM ndiye alikuwa rais sahihi, ila ndo hvy hakuwa sahihi kutokana na akili za Watanzania
Mkuu ungemalizia kwa kutukumbushiaMoyo wangu unaniuma,

Mwambie jpm alikua jizi kubwa tu na katili alimuua ben saanane nk alale motoni huku wamchome kama chapati/mishkakiUmeanza.
JPM ni kiongozi alieasisi na kuhalalisha utekaji wa mauaji. Ametuharibia nchi.
Upo sahihi mkuu, na ndiye anayeendeleza haya akiwa mfu 🔥Umeanza.
JPM ni kiongozi alieasisi na kuhalalisha utekaji wa mauaji. Ametuharibia nchi.
Hata lissu nae kafungwa na jpm 😂Mwambie jpm alikua jizi kubwa tu na katili alimuua ben saanane nk alale motoni huku wamchome kama chapati/mishkaki
Jpm alitaka kumuaa Lissu tena tuache tu JPM ni wa kufufua na tuanze kumtesa slowlyHata lissu nae kafungwa na jpm 😂
Na waliokufa kuanzia 2021 wameuliwa na jpm 😂
Naskia Pia alimuua mzee kibao 😎Jpm alitaka kumuaa Lissu tena tuache tu JPM ni wa kufufua na tuanze kumtesa slowly
Tulinde amani ili muendelee kujilimbikizia mali??amani ya nchi ni muhimu kulindwa kwa namna yoyote kwani haina mbadala
october tukaweke vema
Unaweza kudhani umekimbia hoja, uko palepale.Upo sahihi mkuu, na ndiye anayeendeleza haya akiwa mfu 🔥
Mama yenu ameshindwa nn kuviondoa hvy vikosi?Unaweza kudhani umekimbia hoja, uko palepale.
Ni sahihi kusema anaendeleza akiwa mfu kwa sababu vikosi kazi vya utekaji alivyoviunda ndivyo vinaendeleza utekaji.
Ameamua kuviendeleza na kuviboresha, kwa sababu anadhani vinamsaidia kuwaondoa wasumbufu.Mama yenu ameshindwa nn kuviondoa hvy vikosi?

Hakuna mahali nimesema naunga mkono utekajiAmeamua kuviendeleza na kuviboresha, kwa sababu anadhani vinamsaidia kuwaondoa wasumbufu.
Mbaga, Tanzania ni yetu, ninakushauri tupinge utekaji, hii nchi ina mahakama ambayo wanaotukana wanaweza kufikishwa kwa hakimu na kusomewa mashtaka, na siyo kutekwa.
Tuwe wazalendo, tuipende nchi yetu, tupinge utekaji.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu wabariki wanaopinga utekaji.
Kumbe bado unaipenda 60%?Moyo wangu unaniuma,