Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

JPM ndiye alikuwa rais sahihi, ila ndo hvy hakuwa sahihi kutokana na akili za Watanzania
 
Tanzania yetu ya leo, imegubikwa na watu walionogewa madaraka kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote, ninarudi, LOLOTE!, ilimradi kubaki madarakani.

Inasikitisha sana.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu wabariki watanzania wapenda haki, wanaopinga uonevu kwa vitendo.
 
OKTOBA TUNA ✔️
 
Mkuu ungemalizia kwa kutukumbushia
No REFORMS No ELECTION
 
Mwambie jpm alikua jizi kubwa tu na katili alimuua ben saanane nk alale motoni huku wamchome kama chapati/mishkaki
Hata lissu nae kafungwa na jpm 😂
Na waliokufa kuanzia 2021 wameuliwa na jpm 😂
 
Upo sahihi mkuu, na ndiye anayeendeleza haya akiwa mfu 🔥
Unaweza kudhani umekimbia hoja, uko palepale.

Ni sahihi kusema anaendeleza akiwa mfu kwa sababu vikosi kazi vya utekaji alivyoviunda ndivyo vinaendeleza utekaji.
 
Unaweza kudhani umekimbia hoja, uko palepale.

Ni sahihi kusema anaendeleza akiwa mfu kwa sababu vikosi kazi vya utekaji alivyoviunda ndivyo vinaendeleza utekaji.
Mama yenu ameshindwa nn kuviondoa hvy vikosi?
 
Mama yenu ameshindwa nn kuviondoa hvy vikosi?
Ameamua kuviendeleza na kuviboresha, kwa sababu anadhani vinamsaidia kuwaondoa wasumbufu.

Mbaga, Tanzania ni yetu, ninakushauri tupinge utekaji, hii nchi ina mahakama ambayo wanaotukana wanaweza kufikishwa kwa hakimu na kusomewa mashtaka, na siyo kutekwa.

Tuwe wazalendo, tuipende nchi yetu, tupinge utekaji.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu wabariki wanaopinga utekaji.
 
Hakuna mahali nimesema naunga mkono utekaji
 
Kumbe bado unaipenda 60%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…