Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza.
Baada ya ajali ya ndege siku tatu kulikuwa na povu povu kuhusu uwajibikaji, Leo matokeo ya Yanga yameshabadili upepo na stori zimebadilika.
Ha ha ha ha ha Tanzania raha sana. Kuna jamaa alisema "Tanzania wee jipiganie wewe na nafasi yako"