Mtoa hoja umepata kura yangu hapa, uzuzu wa watanzania ndio cancer hapa, kuna mtu aliwageuza watu kuwa mazuzu, hawa wanaokula pie ya taifa, family zao zinaishi maisha ya juu na wameanza kutithishana ili mazuzu waendelee kutawaliwa, mwanzilishi wa UPE hakuna mjukuu wake aliyesoma kule, mwasisi wa shule za Kayumba sekondari naye pia hakuna mjuukuu wake aliyesoma huko, mazuzu wanaendelea kushangilia!! Eti pongezi kwa viongozi wa ccm na serikali mkoa wa Kagera kwa uokoaji wa kitaalamu kwenye air crash accident!!! upuuzi mtupu