Tanzania: Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2021

Tanzania: Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2021

kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.

wachezaji walioitwa ni

Adi YUSUPH kwanini hajaitwa? Na akiitwa kwanini hachezeshwi?
 
Adi YUSUPH kwanini hajaitwa? Na akiitwa kwanini hachezeshwi?
Mkuu huyu jamaa amecheza nje naona hafit vizuri mfumo wa soka la kiafrika. Alishawahi cheza gemu ya Rwanda lakini hakufanya vizuri
 
Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.

Wachezaji walioitwa ni;

Imekaa kimikia mika tu.
 
Back
Top Bottom