kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Yupo mbona kaachwa fei totoNasikitika kuachwa Kwa Idd Nado
Adi YUSUPH kwanini hajaitwa? Na akiitwa kwanini hachezeshwi?kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.
wachezaji walioitwa ni
Yupo mbona kaachwa fei toto
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]Mkuu huyu jamaa amecheza nje naona hafit vizuri mfumo wa soka la kiafrika. Alishawahi cheza gemu ya Rwanda lakini hakufanya vizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] makame namuona vp yy anapiga vizuriHuyu naye ulojo lojo, ndala sijui waliona nini kwake.
Imekaa kimikia mika tu.Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.
Wachezaji walioitwa ni;