Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
Wengine mpaka wanauvua werevu wao ili watengeneze connection uk taxari kwa ilo mkuuUkiwa mwerevu lazima utakuwa na uwezo wa kutengeneza connections, otherwise huo werevu wako ni ujinga.
Anadakula saa hii.umekula daku mkuu
Daaah ndo maana kaamka kaanza kutoa hotuba JF badala ale dakuAnadakula saa hii.
Unatafuta ajira mzee?Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Wengine wanauza utu wao ilo wapate hizo mnazoziita connection Sasa Si sijui huo ndo werevu wenyeweUkiwa mwerevu lazima utakuwa na uwezo wa kutengeneza connections, otherwise huo werevu wako ni ujinga.
LAZIMA UUVUE WEREVU UWE MJINGA NDIYO UPATE UNACHOKIHITAJI. Labda kama unataka atumie uelevu wako in that way then you are somehow right! Unadhani Ulimwengu kama hajajivua werevu tpata kuongoza? akiendelea na wereve wake s of now?Ukiwa mwerevu lazima utakuwa na uwezo wa kutengeneza connections, otherwise huo werevu wako ni ujinga.
Sasa muelewe Muhimu wa katiba mpyaUkweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Katina. Ndio maana ukichukua wabunge wetu na Kenya ukawapa mtihani wa siasa majibu yatatisha sana. We need God kwakweliUkweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Ni Kweli familia ya JK , Makamba, Mnauye, Pinda, Lowassa, Mhagama, Mwinyi, Mongela, wote wana PhDKila mtu unamuona hana akili zaidi yako na ukoo wako...Hao unao waita wajinga unawajua elimu zao ? Wewe binafsi una elimu gani ya kuonekana sio mjinga ?
Uwe na adabu kama hauna malezi usiwe unaropoka tu...Maana ukoo wako ndo werevu pekee
UPO SAHIHI naunga mkono hoja NCHI hii ina WAJINGA wengi sana zamani walikuwa WASIO SOMA lakini sasa hivi WASOMI ndio WAJINGA hawajitambui Hawajui nani kawapa UMASIKINI BABA zao mpaka wao WAKAURITHI Wasomi wetu ni Wajinga sana.Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Au chukulia mfano wa nape na makamba yaani ni matatizo tupu nchi hii.Aisee fikiria tulikuwa tunaongozwa na watu kama Sabaya na Makonda, watu kama Mnyeti ni wabunge