Umeishi nchi zote duniani ukaona Tz ndyo nchi pekeeTanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.
Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini mwao.
Ndio maana kesi nyingi zimekuwa za kuwalipa wanaposhindwa.
Hivi yule muwekezaji wa eneo la UDSM chuo pale mlimani city kesi yake iliishia wapi au tumeshasahau kama kawaida yetu kupitia mwanga wa mwenge.
Sasa kwann useme pekee na haujui hali ya nchi nyingine hivi mzima kweli ww au umetoka facebookKwani maana ya upekee ulitaka niutoe kongo wakati mimi sio raia wa kongo
Hiyo wa UDSM aliwekeza Nini?Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.
Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini mwao.
Ndio maana kesi nyingi zimekuwa za kuwalipa wanaposhindwa.
Hivi yule muwekezaji wa eneo la UDSM chuo pale mlimani city kesi yake iliishia wapi au tumeshasahau kama kawaida yetu kupitia mwanga wa mwenge.
VuzilabibiyakoYou bitch nigger