Tanzania ndio nchi pekee akija mtu mweupe hata kama ni maskini,mwizi na tapeli wao wanajua ni mwekezaji

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.

Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini mwao.

Ndio maana kesi nyingi zimekuwa za kuwalipa wanaposhindwa.

Hivi yule muwekezaji wa eneo la UDSM chuo pale mlimani city kesi yake iliishia wapi au tumeshasahau kama kawaida yetu kupitia mwanga wa mwenge.
 
Umeishi nchi zote duniani ukaona Tz ndyo nchi pekee
 
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.

Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini mwao.
Ndio maana kesi nyingi zimekuwa za kuwalipa wanaposhindwa.

Hivi yule muwekezaji wa eneo la UDSM chuo pale mlimani city kesi yake iliishia wapi au tumeshasahau kama kawaida yetu kupitia mwanga wa mwenge.
Hiyo wa UDSM aliwekeza Nini?
 
Wawekezaji wengi weupe ni debauchers na matapeli.
Kama Familia ya yule kigogo wa dunia ilivyoiba madini South Africa ikaishia kutimkia US na kuukana uraia wa South.
 
Back
Top Bottom