chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.
Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini mwao.
Ndio maana kesi nyingi zimekuwa za kuwalipa wanaposhindwa.
Hivi yule muwekezaji wa eneo la UDSM chuo pale mlimani city kesi yake iliishia wapi au tumeshasahau kama kawaida yetu kupitia mwanga wa mwenge.