Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu.
Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri ukanda wote ungenufaika.
Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri ukanda wote ungenufaika.